wewe sio mtu Mpira
Ile michezo ya ndondo ni nani anawafanyia production? Just curious!Hao uliowataja hawafanyi Production yaani kurekodi, wao wanarusha tu
DSTV /Star times wanaonyesha Ndondo?Kama sijakuelewaIle michezo ya ndondo ni nani anawafanyia production? Just curious!
Yeah, nafikiri Dstv anaonesha ndondo cup ile ya clouds media.DSTV /Star times wanaonyesha Ndondo?Kama sijakuelewa
Hali ya hewa ya wenzetu sio sawa na huku mkuuView attachment 1575819
Mimi naona muda uko sawa tu mbona wenzetu wanacheza saa sita mchana [emoji16]
12:00 huku kwetu saa 14:00
14:00 huku kwetu saa 16:00
16:30 huku kwetu saa 18:30
19:00 huku kwetu saa 21:00
Unafikiri?Anyway, wanarekodi wenyewe hao kina Dauda wanawapa DSTV wanarusha.Hata Ligi ya Uingereza DSTV wamenunua tu Haki za Kurusha hawarekodi wenyewe, Azam anafanya Production mwenyewe anarusha Mwenyewe na hapa ndipo Azam yuko dakika tatu mbele dhidi ya wengine endapo watataka kurusha VPL inabidi wafanye na Production pia .Labda Azam wabaki na Haki za kurekodi wawauzie wengine au kampuni hizo zingine zijipange kufanya Na production, ni jambo gumu sanaYeah, nafikiri Dstv anaonesha ndondo cup ile ya clouds media.
Biashara bila ushindan inakuwa monopoly e.g Tanesco.Hawana hela. DSTV waliwahi taka kuonyesha Ligi ya Tanzania zamani Sana around 2011 au 2012 lakini walikuwa wanatoa hela ndogo Sana. Azam wanatoa hela zaidi. Hao Startimes ni kampuni mbovu isiyojielewa
hali ya hewa ya uingereza si sawa na bongoKuna mechi uingereza huchezwa mida ya 11 kwa masaa ya hapa tz.
Utofauti ya muda kati ya tz na uingereza ni massa matatu. Kwa maana hiyo muda wa mechi hiyo kwa masaa ya uingereza ni saa 8 mchana.
Sioni tatizo lolote kwenye hili.
Kuna mechi uingereza huchezwa mida ya 11 kwa masaa ya hapa tz.
Utofauti ya muda kati ya tz na uingereza ni massa matatu. Kwa maana hiyo muda wa mechi hiyo kwa masaa ya uingereza ni saa 8 mchana.
Sioni tatizo lolote kwenye hili.
Hatujakataa kuiga vitu vizuri toka kwa wenzetu ila lazima tutambue jambo kuwa sio kilankotu kinawezekana kucopy.
Mechi za saa nane zina gharimu sana vilabu...hamna mashabiki kabisa. Tena bora mechi saa nane wikend...wanaweka mechi saa nane on a wikday!!!
Sawa tv rights nizake na hapa mwenye hela ndio ana mabavu but busara itumike
Biashara bila ushindan inakuwa monopoly e.g Tanesco.
wewe ndio uko sahihi.Mazingira ya hali ya hewa hayaruhusu kama mechi zinachezwa saa nane basi Simba na yanga nazo zipangiwe saa nane ratiba ilitakiwa kupangwa kuanzia ijumaa hadi jumapili na jumatano na alhamisi
Tena saa 8 ya kwetu kwao saa 6. Ni kawaida hata huko majuu TV wanapanga timing sababu ni biashara.Umemjibu vzr. Arsenal game ya kwanza EPL kaanza na FULHAM ugenini na ilipigwa Mchana wa saa 8.