Azam wasalimisha hela zetu viwanjani

Azam wasalimisha hela zetu viwanjani

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwenda uwanjani kutizama mpira ni adhabu na mateso kutokana na:
1. Foleni ndefu za magari
2. Fujo za uwanjani na watu kung'oa viti
3. Kandanda bovu linaloonyeshwa na timu zetu,
4. Waamuzi wabovu wanaopika matokeo na
5. Uongozi mbovu wa mpira wa miguu

Hivyo hailipi kabisa(value for money) kwenda kutizama mpira viwanjani. Kuangalia mpira wa aina hii Azam tv kunatosha kabisa. Thiendi ng'o, nimuona tshishimbwi na kokwi muleee Atham TV
 
Kwa hiyo usipoenda kutazama mpira hayo mambo matano yatafutika? Tuondolee hii, inajaza tu server
 
Bora yaendelee nikiwa niko nyumbani nikinywa kahawa yangu safi huku nikiwapiga chapo kwenye luninga yangu. TFF msije mkamtafuta mchawi anayewafanya watu wapungue viwanjani kuangalia soka lenu bovu linalobadilishwabadilishwa ratiba kila asubuhi, mchawi ni atham. Unachotakiwa kufanya ni kununua king'amuzi tu cha Azam leoleo shida zote za uwanjani utaepukana nazo.
 
Kuna wapenzi wa mpira wa kwenye TV,
Na kuna wapenzi wa mpira wanao enda kutazama mpira uwanjani.
Toka zamani ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo.
 
Kwenda uwanjani kutizama mpira ni adhabu na mateso kutokana na:
1. Foleni ndefu za magari
2. Fujo za uwanjani na watu kung'oa viti
3. Kandanda bovu linaloonyeshwa na timu zetu,
4. Waamuzi wabovu wanaopika matokeo na
5. Uongozi mbovu wa mpira wa miguu

Hivyo hailipi kabisa(value for money) kwenda kutizama mpira viwanjani. Kuangalia mpira wa aina hii Azam tv kunatosha kabisa. Thiendi ng'o, nimuona tshishimbwi na kokwi muleee Atham TV
Umenunua kingamuzi chako Leo unatujazia tu sevar humu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wapenzi wa mpira wa kwenye TV,
Na kuna wapenzi wa mpira wanao enda kutazama mpira uwanjani.
Toka zamani ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo.
Hata wakati huu wa kupambana na hali? Ni baada ya kupata hewa, maji, chakula, malazi, nguo, afya na mapenzi ndiyo hiyo pila yako uwanjani itafuata bhana. Ajira unayo? vibarua vipo mitaani? wateja dukani unao? Nenda kibanda umiza angalia pila yako rudi nyummbani yako, kojoa, lala.
 
Kwenda uwanjani kutizama mpira ni adhabu na mateso kutokana na:
1. Foleni ndefu za magari
2. Fujo za uwanjani na watu kung'oa viti
3. Kandanda bovu linaloonyeshwa na timu zetu,
4. Waamuzi wabovu wanaopika matokeo na
5. Uongozi mbovu wa mpira wa miguu

Hivyo hailipi kabisa(value for money) kwenda kutizama mpira viwanjani. Kuangalia mpira wa aina hii Azam tv kunatosha kabisa. Thiendi ng'o, nimuona tshishimbwi na kokwi muleee Atham TV
Mkuu unavuta cha chooni
 
Back
Top Bottom