kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kwenda uwanjani kutizama mpira ni adhabu na mateso kutokana na:
1. Foleni ndefu za magari
2. Fujo za uwanjani na watu kung'oa viti
3. Kandanda bovu linaloonyeshwa na timu zetu,
4. Waamuzi wabovu wanaopika matokeo na
5. Uongozi mbovu wa mpira wa miguu
Hivyo hailipi kabisa(value for money) kwenda kutizama mpira viwanjani. Kuangalia mpira wa aina hii Azam tv kunatosha kabisa. Thiendi ng'o, nimuona tshishimbwi na kokwi muleee Atham TV