Kwa hiyo usipoenda kutazama mpira hayo mambo matano yatafutika? Tuondolee hii, inajaza tu serverKwenda uwanjani kutizama mpira ni adhabu na mateso kutokana na:
1. Foleni ndefu za magari
2. Fujo za uwanjani na watu kung'oa viti
3. Kandanda bovu linaloonyeshwa na timu zetu,
4. Waamuzi wabovu wanaopika matokeo na
5. Uongozi mbovu wa mpira wa miguu
Hivyo hailipi kabisa(value for money) kwenda kutizama mpira viwanjani. Kuangalia mpira wa aina hii Azam tv kunatosha kabisa. Thiendi ng'o, nimuona tshishimbwi na kokwi muleee Atham TV
Bora yaendelee nikiwa niko nyumbani nikinywa kahawa yangu safi huku nikiwapiga chapo kwenye luninga yangu. TFF msije mkamtafuta mchawi anayewafanya watu wapungue viwanjani kuangalia soka lenu bovu linalobadilishwabadilishwa ratiba kila asubuhi, mchawi ni atham. Unachotakiwa kufanya ni kununua king'amuzi tu cha Azam leoleo shida zote za uwanjani utaepukana nazo.Kwa hiyo usipoenda kutazama mpira hayo mambo matano yatafutika? Tuondolee hii, inajaza tu server
Umenunua kingamuzi chako Leo unatujazia tu sevar humu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwenda uwanjani kutizama mpira ni adhabu na mateso kutokana na:
1. Foleni ndefu za magari
2. Fujo za uwanjani na watu kung'oa viti
3. Kandanda bovu linaloonyeshwa na timu zetu,
4. Waamuzi wabovu wanaopika matokeo na
5. Uongozi mbovu wa mpira wa miguu
Hivyo hailipi kabisa(value for money) kwenda kutizama mpira viwanjani. Kuangalia mpira wa aina hii Azam tv kunatosha kabisa. Thiendi ng'o, nimuona tshishimbwi na kokwi muleee Atham TV
Hata wakati huu wa kupambana na hali? Ni baada ya kupata hewa, maji, chakula, malazi, nguo, afya na mapenzi ndiyo hiyo pila yako uwanjani itafuata bhana. Ajira unayo? vibarua vipo mitaani? wateja dukani unao? Nenda kibanda umiza angalia pila yako rudi nyummbani yako, kojoa, lala.Kuna wapenzi wa mpira wa kwenye TV,
Na kuna wapenzi wa mpira wanao enda kutazama mpira uwanjani.
Toka zamani ipo hivyo na itaendelea kuwa hivyo.
Mkuu unavuta cha chooniKwenda uwanjani kutizama mpira ni adhabu na mateso kutokana na: