Azam wazindua Jersey bora zaidi Duniani

Azam wazindua Jersey bora zaidi Duniani

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,548
Reaction score
9,740
Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24
Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika kkoo kwenda kuzipata ambapo zinauzwa kwa bei ya kizawa kabisa ya Tsh 25k tu kwa moja,
Simba na Yanga jifunzeni kutoa jersey kali kama hizi
20230720_181118.jpg

Jersey iliyopagawisha watu yenye kutaradadi 😊 kama miujiza tu jersey hii unaipata kwa Tsh 25k tu
20230720_181135.jpg

Away jersey, ina ubora sanaaaaaa,
Kikubwa kila mtu apate mtoko huu, jersey hii ukienda nayo bank kukopa hawakuombi dhamana,

Jersey hii ukienda nayo kwenye kikao cha wazazi shule unapewa seat ya mbele kabisa,

Jersey hii unaweza itumia kufungia harusi,
Jersey hii unaweza vaa na ukaruhusiwa kwenda nayo bungeni au ikulu bila shida, sio kama zile sare za ujenzi za Yanga 😂
 
Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24..... Huu ni ukweli wa wazi kabisa
 
Eti Simba na Yanga ziiige Azam kutoka jezi kali ilhali Azam ndo wamejifunza hayo mambo kwa miamba ya Kariakoo! Azam walikuwa wanavaa utumbo wa bata tupu, saa hizi ndo wameanza kuiga iga.
Sasa mkuu umeona malonya ya Yanga msimu huu? Ndo mana nasema wajifunze kwetu
 
Back
Top Bottom