Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasema, mimi ni nani nikupinge?! Ngoja nikavute yangu mapema 🏃🏾♂️🏃🏾♂️🏃🏾♂️Azam wametisha sana, hii jezi ni kali mno
Hizi jezi hata hazieleweki, ubunifu hafifu tu, nachoona ni alama za vidole tu.Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24
Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika kkoo kwenda kuzipata ambapo zinauzwa kwa bei ya kizawa kabisa ya Tsh 25k tu kwa moja,
Simba na Yanga jifunzeni kutoa jersey kali kama hizi
View attachment 2695100
Jersey iliyopagawisha watu yenye kutaradadi 😊 kama miujiza tu jersey hii unaipata kwa Tsh 25k tu
View attachment 2695102
Away jersey, ina ubora sanaaaaaa,
Kikubwa kila mtu apate mtoko huu, jersey hii ukienda nayo bank kukopa hawakuombi dhamana,
Jersey hii ukienda nayo kwenye kikao cha wazazi shule unapewa seat ya mbele kabisa,
Jersey hii unaweza itumia kufungia harusi,
Jersey hii unaweza vaa na ukaruhusiwa kwenda nayo bungeni au ikulu bila shida, sio kama zile sare za ujenzi za Yanga 😂
Hivi tatizo letu Bongo ni nini katika hizi Jerseys? ni ubunifu ama ni budget? Same design inabadilishwa rangi tu halafu watu wanajitamba tuna jersey bora kabisa!Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24
Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika kkoo kwenda kuzipata ambapo zinauzwa kwa bei ya kizawa kabisa ya Tsh 25k tu kwa moja,
Simba na Yanga jifunzeni kutoa jersey kali kama hizi
View attachment 2695100
Jersey iliyopagawisha watu yenye kutaradadi 😊 kama miujiza tu jersey hii unaipata kwa Tsh 25k tu
View attachment 2695102
Away jersey, ina ubora sanaaaaaa,
Kikubwa kila mtu apate mtoko huu, jersey hii ukienda nayo bank kukopa hawakuombi dhamana,
Jersey hii ukienda nayo kwenye kikao cha wazazi shule unapewa seat ya mbele kabisa,
Jersey hii unaweza itumia kufungia harusi,
Jersey hii unaweza vaa na ukaruhusiwa kwenda nayo bungeni au ikulu bila shida, sio kama zile sare za ujenzi za Yanga 😂
Katika hili naungana na wew kuwa Azam kazingua sana, jersey inabidi zitofautine bana, sio jersey sare tofauti rangi huu ni upuuzi Azam wameletaHivi tatizo letu Bongo ni nini katika hizi Jerseys? ni ubunifu ama ni budget? Same design inabadilishwa rangi tu halafu watu wanajitamba tuna jersey bora kabisa!
Sitaki kuamini kwamba hatuoni wenzetu wanapotoa home, away and third kit huwa zote ni tofauti kwenye design!!!
Hapo jana team ya Azam Fc imezindua jersey bora zaidi duniani watakazo zitumia kwa msimu wa 2023/24
Jersey hizo zenye rangi ya Blue, Nyeupe na dhahabu zimevutia sana watu na wengi wakimiminika kkoo kwenda kuzipata ambapo zinauzwa kwa bei ya kizawa kabisa ya Tsh 25k tu kwa moja,
Simba na Yanga jifunzeni kutoa jersey kali kama hizi
View attachment 2695100
Jersey iliyopagawisha watu yenye kutaradadi 😊 kama miujiza tu jersey hii unaipata kwa Tsh 25k tu
View attachment 2695102
Away jersey, ina ubora sanaaaaaa,
Kikubwa kila mtu apate mtoko huu, jersey hii ukienda nayo bank kukopa hawakuombi dhamana,
Jersey hii ukienda nayo kwenye kikao cha wazazi shule unapewa seat ya mbele kabisa,
Jersey hii unaweza itumia kufungia harusi,
Jersey hii unaweza vaa na ukaruhusiwa kwenda nayo bungeni au ikulu bila shida, sio kama zile sare za ujenzi za Yanga 😂
Hiyo gold ni third kit, second kit au first kit iko wapi?Yeah, hii jersey unaenda nayo popote pale