Azam wazindua Jersey bora zaidi Duniani

Azam wametisha sana, hii jezi ni kali mno
Wewe wasema, mimi ni nani nikupinge?! Ngoja nikavute yangu mapema πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Hizi jezi hata hazieleweki, ubunifu hafifu tu, nachoona ni alama za vidole tu.
 
Hivi kule Azam complex si inapatikana? Niende nikajitwalie mapema sana
 
Hizi jezi hata hazieleweki, ubunifu hafifu tu, nachoona ni alama za vidole tu.
Chuki humchoma anayehifadhi πŸ˜‚
Mwisho uzae mana si kwa kushikwa na uchungu huko πŸ˜‚
 
Nitaisifia hadi pale nitapoona material yake...

Hata hivyo kwa picha za graphics, hiyo ya gold ina muonekano mzuri...
 
Hivi tatizo letu Bongo ni nini katika hizi Jerseys? ni ubunifu ama ni budget? Same design inabadilishwa rangi tu halafu watu wanajitamba tuna jersey bora kabisa!

Sitaki kuamini kwamba hatuoni wenzetu wanapotoa home, away and third kit huwa zote ni tofauti kwenye design!!!
 
Katika hili naungana na wew kuwa Azam kazingua sana, jersey inabidi zitofautine bana, sio jersey sare tofauti rangi huu ni upuuzi Azam wameleta
 

*duniani
 
linakuja suala la jezi na creativity ninawakubali Cameroon na Wadau wao PUMA..... (Originality) hao wengine hakuna jipya ni marudio tu......

Hawa jamaa walikuja na sleeveless kit baada ya FIFA kuwapiga mkwara ikabidi ndani wavae tshirt nyingine...



Baada ya hapo wakaja na uzi wa moja kwa moja yaani juu na chini zimeungana..., kweli wanastahili tuzo ya Originality.....


Blatter was incensed.

He whined: β€œIt goes against the laws of the game. The rules are very clear, there is one shirt, one shorts and one socks.

They cannot do it. You cannot play a game against the laws of the game. We are the guardians of the laws of the game – the laws are universal.”


Na kazi nzuri ya PUMA inaendelea mpaka huku (Unique)......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…