Azam yaaga mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika, wafungwa na Pyramids bao 0-1

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Maombi Yanahitajika. Ni Half time. WaTz hawa Wa Azam FC Wako nyuma Kwa Bao 1. Kimsingi Hawako Vibaya...ni game tu imekuwa Katili upande Wao kipindi cha Kwanza. MUHIMU...DUA.!
 
Sema hii mechi Azam kafanya juhudi sana kama yeye ndo angekuwa champions league nadhani group stage angefika make Pyramids sio kabisa, ukitaka kuwajua vizuri waulize wale waliopeleka game yao mwanza kiliwapata nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…