Azam yaaga mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika, wafungwa na Pyramids bao 0-1

Azam yaaga mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika, wafungwa na Pyramids bao 0-1

Maombi Yanahitajika. Ni Half time. WaTz hawa Wa Azam FC Wako nyuma Kwa Bao 1. Kimsingi Hawako Vibaya...ni game tu imekuwa Katili upande Wao kipindi cha Kwanza. MUHIMU...DUA.!
Dua? Kwani na wao Pyramids si wana Mungu wao pia?
 
Katika mashindano ya kimataifa upande huu wa EA hakuna zaidi ya Simba, mkitaka kuthibitisha hili waulizeni hata Utopolo a.ka.a. Wagogo wa Jangwani watawaambia.
 
Katika mashindano ya kimataifa upande huu wa EA hakuna zaidi ya Simba, mkitaka kuthibitisha hili waulizeni hata Utopolo a.ka.a. Wagogo wa Jangwani watawaambia.
Ngoja Simba tukafanye kazi kwa ajili ya taifa ndio ndugu zetu hawa haina budi kuendelea kuwanyanyua
 
Siku nyingine ukitaka kuripoti habari za kisoka uzingatie weledi wa kisoka azam vs pyramid walicheza last week. Jana ni pyramid vs azam。
 
Ila angalau walicheza vizuri kipindi cha pili..japo wametuchania mikeka..tulijua mwarabu atampiga nyingi azam..🤣
 
Back
Top Bottom