Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Dua? Kwani na wao Pyramids si wana Mungu wao pia?Maombi Yanahitajika. Ni Half time. WaTz hawa Wa Azam FC Wako nyuma Kwa Bao 1. Kimsingi Hawako Vibaya...ni game tu imekuwa Katili upande Wao kipindi cha Kwanza. MUHIMU...DUA.!
Ngoja Simba tukafanye kazi kwa ajili ya taifa ndio ndugu zetu hawa haina budi kuendelea kuwanyanyuaKatika mashindano ya kimataifa upande huu wa EA hakuna zaidi ya Simba, mkitaka kuthibitisha hili waulizeni hata Utopolo a.ka.a. Wagogo wa Jangwani watawaambia.
Walipambana sana hatahivyoMaombi Yanahitajika. Ni Half time. WaTz hawa Wa Azam FC Wako nyuma Kwa Bao 1. Kimsingi Hawako Vibaya...ni game tu imekuwa Katili upande Wao kipindi cha Kwanza. MUHIMU...DUA.!