Azam yabanwa mbavu tena

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Ni baada ya kutoa suluhu ya bila magoli na Tanzania Prison Leo Chamaz Complex,,Ni swala la muda tu timu ya wananchi Yanga kutangazwa kuwa mabingwa..
 
Jamaaaa watasema walitoka DRC wamechoka!!loh simba wamesingizia msiba was CAlex!!OK tumewaelewa na nyie mmefiwa??
 
Simba lazima ishuke daraja..simba ukawa oyeeeee
 
yaan mikia wamefungwa mbele ya hans poppe,dewji na aveva?sasa hawa viongozi walikwenda kufanya nini shinyanga?
 
yaan mikia wamefungwa mbele ya hans poppe,dewji na aveva?sasa hawa viongozi walikwenda kufanya nini shinyanga?

Shinyanga ni jangwani lakini ni mahali penye mali za kutosha kama vile almasi, dhahabu, pamba, ng'ombe just a few to mention!

Hao viongozi walienda kutafuta fursa za uwekezaji na sio kusimamia timu yao ipate ushindi.
 
mmeshatangazwa mabingwa isije ikafika tunabeba ubingwa mnaanza tafuta mchawi sisi wazee wa polepole . kwani kuna mechi ngapi zimebaki ligi iishe hapo ndipo utaona ubichi wa ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…