Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaan mikia wamefungwa mbele ya hans poppe,dewji na aveva?sasa hawa viongozi walikwenda kufanya nini shinyanga?
hivi huo ubichi wa ligi mpaka lini? maana kila mkifungwa mnasema ligi bado mbichi, labda utuambie itaiva liniazam awezi kukubali kirahis kuachia yanga ubingwa ligi bado mbichi
azam awezi kukubali kirahis kuachia yanga ubingwa ligi bado mbichi
Hata ile sare na Prisons walikataa katakata isitokee bali uwezo wao uliwapatia matokeo hayo, Ha ha haaa!