Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Ronaldo ananini sasa hivi? Bora hata Messi kidogo ndio anamalizia soka lake.azam hata wamlete messi na ronaldo bado haitofanya vizuri mbele ya simba na yanga
Kwa lugha ingine mpira wetu umenatia hapo kwa Simba na Yanga. Masikitiko.azam hata wamlete messi na ronaldo bado haitofanya vizuri mbele ya simba na yanga
Messi amebaki labda kupiga penalty tuRonaldo ananini sasa hivi? Bora hata Messi kidogo ndio anamalizia soka lake.
sahihi kabisa labda zisiwe vizuri kiuchumi ndio hawa kina azam wanaweza kuonekanaKwa lugha ingine mpira wetu umenatia hapo kwa Simba na Yanga. Masikitiko.
bado anao uwezo wa kufungaRonaldo ananini sasa hivi? Bora hata Messi kidogo ndio anamalizia soka lake.
Bm 33 mpira anaujua,shida ni tabia zaje tu.Halafu Ben hutafuta ushindi Kwa timu siyo kama akina Bajana na Idd NadoMganga wa Morrison ni noma
Hio ipo wazi tatizo msimu mzima anacheza mechi 10Bm 33 mpira anaujua,shida ni tabia zaje tu.Halafu Ben hutafuta ushindi Kwa timu siyo kama akina Bajana na Idd Nado
Wamuweke chini wamshauri na kumfundisha.Wamkemee atatulia.Mbona Anelka na yule mfaransa mwenzake Wiltod walitulia?Hio ipo wazi tatizo msimu mzima anacheza mechi 10
Case [emoji735]azam hata wamlete messi na ronaldo bado haitofanya vizuri mbele ya simba na yanga
Na huu ndiyo ukweli wenyewe watabaki kuwa wasindikizaji tuazam hata wamlete messi na ronaldo bado haitofanya vizuri mbele ya simba na yanga
na wenyewe wanashangilia... hawaoni kwamba hicho ni KikwazoKwa lugha ingine mpira wetu umenatia hapo kwa Simba na Yanga. Masikitiko.
Itawashangaza AzamCase [emoji735]
sio kweli morisson kasaini singidaZipo taarifa kuwa mwamba kutoka Ghana kasinya kandarasi huko Chamazi, aisee winga Morrison, winga m Raja Casablanca, huku benchi Kipre Junior, Sopu, Idd Nado, Ayoub Lyanga.
Watu hawataingiza timu uwanjani, kila la heri.