Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Zipo taarifa kuwa mwamba kutoka Ghana kasinya kandarasi huko Chamazi, aisee winga Morrison, winga m Raja Casablanca, huku benchi Kipre Junior, Sopu, Idd Nado, Ayoub Lyanga.
Watu hawataingiza timu uwanjani, kila la heri.
Watu hawataingiza timu uwanjani, kila la heri.