kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Tatizo linaloitafuna Azam, ni kwamba imeamua na inajinasibu kama Simba wing.Ulichoongea kina uhalisia kwa kiasi fulani mkuu.
Lakini je umeshawahi kujiuliza kuwa wachezaji hao wamekaa Azam misimu mingapi na wamechukua ligi mara ngapi?
Unajua wakati Yanga anachukua Vpl mara tatu mfululizo hao wachezaji wote walikua Azam?
Mi naona kuna kitu zaidi ya wachezaji na makocha kinachoila Azam...inabidi wajitafute sana.
Hizi story mi nazisikia tu...pamoja na kufuatilia mpira kwa ukaribu lakini sijawahi zithibitisha...labda nithibitishiwe naweza kuliongelea hilo.Tatizo linaloitafuna Azam, ni kwamba imeamua na inajinasibu kama Simba wing.
Ikiachana na usimbausimba wake na kusimama kama Azam itafika mbali. Uwekezaji wao mkubwa naona hauna returns
kwa hiyo na ninyi mlivowauzia Azam Ngasa, Domayo, Ngoma, Chirwa na ninyi ni tawi la AzamUjinga wa Azam ni kukubali kuwa tawi la simba.
Timu yenye akili timamu, haiwezi kumuuliza Manula, Nyoni, Wawa, Boco na kapombe.
Tena wachezaji wote unawapeleka timu moja.
Kuna nyakati walitaka kunivunjia ndoa yangu na Yanga, lakini niliwastukia na kuamua kurudi kuisapoti timu yangu.
Tatizo Kubwa la Azam FC ni Ubaguzi wa Wachezaji Wazawa na Wageni, Uchawi, Ubahili wa Kuhonga Mechi zao na Majungu kwa Viongozi wao Juu.Azam imempokea Mpiana Moziz kutoka FC Lupopo kuziba pengo la mcameroon Thiery Akono aliyeuzwa Malaysia. Imefanya mapokezi yasiyokuwa na 'mbwembwe'.
Wakati ikiendelea kujiimarisha Azam imeshindwa kabisa kuziba mapengo ya Bocco, Manula, Nyoni, Wawa na Kapombe na hivyo sasa imekuwa timu mshiriki zaidi kuliko mshindani wa vikombe katika miaka ya karibuni.
Ipo haja ya wao kujitathmini zaidi! Wakati huo huo wachezaji hao hao walioacha mapengo Azam ndio wamekuwa na mchango mkubwa kwa S.S.C. Kwa vilabu vya Afrika Mashariki na kati, ndio timu inayoongoza kwa ubora kwa mujibu wa CAF!
...Kwa taarifa yako, wachezaji wote hao ukiacha Ngoma, walienda Azam baada ya mikataba yao kufika ukingoni/kuisha..Ngoma yeye aliomba kuvunja mkataba. Ni vizuri na ustaarabu kuongea kitu ambacho una uhakika nacho na sio kukurupuka tuuukwa hiyo na ninyi mlivowauzia Azam Ngasa, Domayo, Ngoma, Chirwa na ninyi ni tawi la Azam
hata hao kina manula waliachwa na Azam baada ya mikataba yao kuisha. Ngassa aliuzwa mkataba ulikua haujaisha...Kwa taarifa yako, wachezaji wote hao ukiacha Ngoma, walienda Azam baada ya mikataba yao kufika ukingoni/kuisha..Ngoma yeye aliomba kuvunja mkataba. Ni vizuri na ustaarabu kuongea kitu ambacho una uhakika nacho na sio kukurupuka tuuu
Na pia afahamu wachezaji wote hao walienda Azam kwa miaka tofauti sio kama kwa mkupuo kama hao waliotoka Azam kwenda Simba....Kwa taarifa yako, wachezaji wote hao ukiacha Ngoma, walienda Azam baada ya mikataba yao kufika ukingoni/kuisha..Ngoma yeye aliomba kuvunja mkataba. Ni vizuri na ustaarabu kuongea kitu ambacho una uhakika nacho na sio kukurupuka tuuu