kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Azam imempokea Mpiana Moziz kutoka FC Lupopo kuziba pengo la mcameroon Thiery Akono aliyeuzwa Malaysia. Imefanya mapokezi yasiyokuwa na 'mbwembwe'.
Wakati ikiendelea kujiimarisha Azam imeshindwa kabisa kuziba mapengo ya Bocco, Manula, Nyoni, Wawa na Kapombe na hivyo sasa imekuwa timu mshiriki zaidi kuliko mshindani wa vikombe katika miaka ya karibuni.
Ipo haja ya wao kujitathmini zaidi! Wakati huo huo wachezaji hao hao walioacha mapengo Azam ndio wamekuwa na mchango mkubwa kwa S.S.C. Kwa vilabu vya Afrika Mashariki na kati, ndio timu inayoongoza kwa ubora kwa mujibu wa CAF!