kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Farid chirunda n wengineyo usijisarishe ata lamasia inazalisha ila dembele continyo wamenunuliwa
Uwez endesha soka ivyo ushaona wapi alijaribu ivyo wenger tu n mwisho mambo yakawa magumuLakini sera yao si ilikua kuondoa wakongwe ili kuunda timu ya vijana ndio.maana wakawatosa kina kavumbagu boko erasto kapombe gadiel.michael wawa na wale pacha wa ivory coast
Alikufa yulehuyu ndio alimuoa uwoya?
[emoji44][emoji44][emoji44]Alikufa yule
huyu ndio alimuoa uwoya?
Wakati mwingine unajiuliza hao Azam wanataka nini.Kwa wenye kumbukumbu huyu alishawahi kuchezea simba msimu wa 2007. Hivi academy yao haizalishi View attachment 1141490
Wakati mwingine unajiuliza hao Azam wanataka nini.
Ndiyo kiroja chenyewe. Hawajui wanataka nini. Timu haina dira. Leo hii, Man U wangefuata ya Mourinho, Martial angeishauzwa.Nadhani hawana mtu sahihi wa kuwachorea Dira ya muda mrefu ndio maana kila mwaka sera zao zinabadilika mwaka huu wanaondoa wakongwe na kusajili vijana mwakani wanaondoa vijana na kusajili wakongwe!! Amazing!!
Ile ya kuondoa wakongwe na kusajili vijana ilikuwa Sera ya C.E.O Abdul Mohamed ambaye naye walishamwondoa! Kila bosi huja na mambo yake pale Chamanzi!Nadhani hawana mtu sahihi wa kuwachorea Dira ya muda mrefu ndio maana kila mwaka sera zao zinabadilika mwaka huu wanaondoa wakongwe na kusajili vijana mwakani wanaondoa vijana na kusajili wakongwe!! Amazing!!
Abdul Mohamed Aliwaingiza Chaka, Na Sera yake ya Ovyo, akasahau kauli ya Hakuna Kijiji kisichokua na WazeeIle ya kuondoa wakongwe na kusajili vijana ilikuwa Sera ya C.E.O Abdul Mohamed ambaye naye walishamwondoa! Kila bosi huja na mambo yake pale Chamanzi!
Toka wameanzishwa Wanaunda Timu mpaka leo.Wakati mwingine unajiuliza hao Azam wanataka nini.
Ile ya kuondoa wakongwe na kusajili vijana ilikuwa Sera ya C.E.O Abdul Mohamed ambaye naye walishamwondoa! Kila bosi huja na mambo yake pale Chamanzi!
Azam nae asajili wachezaji kutoka Argentina ππ
Wa Argentina naona hawajagi Africa wale
Hawa wenyewe waliokuja ni machotara tu. Brazili asili kabisa hawezi kuja huku kwenye njaa.