Azam yamsajili Suleiman Yamini Ndikumana

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,457
Reaction score
5,893
Kwa wenye kumbukumbu huyu alishawahi kuchezea simba msimu wa 2007. Hivi academy yao haizalishi
FB_IMG_1561744755899.jpg
 
Farid chirunda n wengineyo usijisarishe ata lamasia inazalisha ila dembele continyo wamenunuliwa
 
Lakini sera yao si ilikua kuondoa wakongwe ili kuunda timu ya vijana ndio.maana wakawatosa kina kavumbagu boko erasto kapombe gadiel.michael wawa na wale pacha wa ivory coast
 
Uwez endesha soka ivyo ushaona wapi alijaribu ivyo wenger tu n mwisho mambo yakawa magumu
 
Nadhani hawana mtu sahihi wa kuwachorea Dira ya muda mrefu ndio maana kila mwaka sera zao zinabadilika mwaka huu wanaondoa wakongwe na kusajili vijana mwakani wanaondoa vijana na kusajili wakongwe!! Amazing!!
Ndiyo kiroja chenyewe. Hawajui wanataka nini. Timu haina dira. Leo hii, Man U wangefuata ya Mourinho, Martial angeishauzwa.
 
Nadhani hawana mtu sahihi wa kuwachorea Dira ya muda mrefu ndio maana kila mwaka sera zao zinabadilika mwaka huu wanaondoa wakongwe na kusajili vijana mwakani wanaondoa vijana na kusajili wakongwe!! Amazing!!
Ile ya kuondoa wakongwe na kusajili vijana ilikuwa Sera ya C.E.O Abdul Mohamed ambaye naye walishamwondoa! Kila bosi huja na mambo yake pale Chamanzi!
 
Abdul Mohamed Aliwaingiza Chaka, Na Sera yake ya Ovyo, akasahau kauli ya Hakuna Kijiji kisichokua na Wazee
 
Ile ya kuondoa wakongwe na kusajili vijana ilikuwa Sera ya C.E.O Abdul Mohamed ambaye naye walishamwondoa! Kila bosi huja na mambo yake pale Chamanzi!

sera inatakiwa kuwa ya kampuni sio ya mtu! Mtu huja kusimamia sera iliyopo tu! hapo ndipo wanapokosea! .. inashangaza kampuni kubwa kama ile inashindwa kutekeleza hili
 
Back
Top Bottom