Azam yatua EPL

ESPN Africa Zipo kila kisumbuzi lakini lazima uombe ili uonyeshe siyo kwamba ziko by default kwenye kila kisumbuzi. Kwa visimbuzi vya wamiliki wa kibongo Azam TV anajitahidi kulinganisha na wengine ukiwaondoa DSTV.
 
Haziombwi mzee zinalipiwa, ESPN Africa inapatikana Startimes, Zuku, Continental, DSTV, Azam n.k
.
Hizo ligi zote ulizozitaja wala hazina wafuatiliaji wengi (kibongo bongo) Azam tv wamelamba dume kwenye VPL tu La liga yenyewe wala haifuatiliwi kihivyo.
.
Kwése wameshindwa hata kuleta visimbuzi vyao kutokana na uwepo wa DSTV ila wana ofisi zao hapa TZ na ndio hao wanaotoa hivyo vimechi vya bure (vinalipiwa kidogo) moja kila wiki.
 
Dstv yuko hoi siku hizi wanauza madishi kwa promotion siyo Ile DSTv ya kulipia kwa dollars tena. Azam TV is a threat to them. Sie watu wa 18,000 hizo match zinatosha tunashukuru Azam TV kuwepo tungekuwa hatuzioni.
 
Sio kwamba Azam ni threat kwa DSTV haiwezekani kabisaa.Kwa mtaji walionao DSTV hata wakigawa bure kabisa madish yao na decoder kisha watu wakaanza kulipia vifurushi vyao bado wanaweza kujiendesha.Azam wanajitahidi lakin bado sana kufananisha au hata kuikaribia DSTV.Hata wenye madish yote mawili mara nyingi hupenda kuwasha DSTV.Azam inawashwa saa2 usiku kwenye habari na siku za VPL.Baada ya hapo unafunga.

Mteja wa DStv akilipia 19,000 kwa mwezi channel anazopewa ni pungufu kidogo tu kwa package kubwa ya Azam.Sasaivi Dstv(multichoice)wameshabalance mzani wa soko kwa hiyo ndo maana wanajiamini hata kupunguza vifurushi vyao na bando kampuni haiyumbi.Ni sawa na supersport ambao sasaivi hakuna mtangazaji mkubwa kuliko kituo.Hata baada ya kuondoka yule wa uefa(sikazwe)kama sijakosea bado Supersport ipo vizuri na haiwezi kuyumba.
Hata hivyo azam wapo vizuri ila wapambane kwanza na startimes maana ndo mshindani wao mkubwa sana.
Dstv yuko hoi siku hizi wanauza madishi kwa promotion siyo Ile DSTv ya kulipia kwa dollars tena. Azam TV is a threat to them. Sie watu wa 18,000 hizo match zinatosha tunashukuru Azam TV kuwepo tungekuwa hatuzioni.
 
Dstv yuko hoi siku hizi wanauza madishi kwa promotion siyo Ile DSTv ya kulipia kwa dollars tena. Azam TV is a threat to them. Sie watu wa 18,000 hizo match zinatosha tunashukuru Azam TV kuwepo tungekuwa hatuzioni.
Azam itakuwa tishio ikianza kuonyesha EPL au UEFA, DSTV bado ni tishio kubwa ana UEFA, SERIE A, EUROPA, BUNDESLIGA, EPL na takataka zingine zoteee.
.
Hawauzi madishi yao kwa promotion ndio bei yao sasa hivi elfu 70 tu ila kwenye ununuaji wa vifurushi ndio mlima Kilimanjaro ulipo
 
Hadi Ting na continental
 
Dstv anamtaji kiasi gani kiasi cha kumfanya Azam media (Bakhressa) kuwa mdogo sana kwake? Nielimishe mkuu..
 
Yule mtangazaji wa Uefa anaitwa Robert Marawa
 
Kuweka rekodi sawa, Dstv hawaonyeshi Bundesliga na King'amuzi chao kwasasa ni 99,000/=
 
Hujui haki za kuonesha EPL kalipa zaidi ya trillioni?
Najua haki yake ni ya sub saharan Africa tu. Ila kiasi sizani kama kinafika huko, ungenipa link ingesaidia sana.
 
Multichoice Wana R50.1 bn revenue yao wakati bakhressa ana $660 million. So hapo nani zaidi??
Mkuu ukifanya comparison ni vizuri kuweka kwa currency moja. Ila nashukuru kwa hiyo info, siyo mbaya ukanielekeza ulipo pata hizo taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…