Azam yatua EPL

Azam yatua EPL

Mbona wametoa matangazo UTV mpira ulipotaka kuanza tu?kama kuna mashart ili mtu uone mechi wangetuambia sasa niko home hata namna ya kutoka kuangalia game vibandani nashindwa
Wako live mbona
 
Unamjua mmliki wa kampuni ya multichoice ?huyu ana hela nyingi sana+mmliki wa supersport anahela nyingi sana na Wote pia wanmiliki timu lakin supersport united ipo juu ya azam mara 7.
AZAM ana biashara nyingi ko lazima abalance lakin wao multichoice wamejikita kwenye media
Dstv anamtaji kiasi gani kiasi cha kumfanya Azam media (Bakhressa) kuwa mdogo sana kwake? Nielimishe mkuu..
 
Back
Top Bottom