Kweli mkuu nimeona. Ahsante sanaWaliolipia elf 28 wanaona fresh tu
Wako live mbonaMbona wametoa matangazo UTV mpira ulipotaka kuanza tu?kama kuna mashart ili mtu uone mechi wangetuambia sasa niko home hata namna ya kutoka kuangalia game vibandani nashindwa
Sasa watu wamelipia elf 10 mapovu yanawabubujika[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mkuu nimeona. Ahsante sana
Yes, hujaona leo mechi imeanza tu wakafanya yao?Unamaanisha AZAM inajiunga na KFS kuonyesha game?
Anhaa sawa mkuu ngoja nifanye hivyoTafuta espn ndiyo zimebadilisha jina na kuitwa hivyo.
Hakuna hiyo mkuuTafuta espn ndiyo zimebadilisha jina na kuitwa hivyo.
Dstv anamtaji kiasi gani kiasi cha kumfanya Azam media (Bakhressa) kuwa mdogo sana kwake? Nielimishe mkuu..
Kuweka rekodi sawa, Dstv hawaonyeshi Bundesliga na King'amuzi chao kwasasa ni 99,000/=