WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Azam FC, leo wamewatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1 kwenye uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.
Kwa matokeo hayo ya mchezo wa kwanza wa raundi ya pili, Azam imejiwekea mazingira mazuri ya...