Azam yawatoa kimasomaso Watanzania, yaichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1

Azam yawatoa kimasomaso Watanzania, yaichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
338
Reaction score
180
azam vs esperance.jpg

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho, Azam FC, leo wamewatoa kimasomaso Watanzania baada ya kuichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1 kwenye uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam.

Kwa matokeo hayo ya mchezo wa kwanza wa raundi ya pili, Azam imejiwekea mazingira mazuri ya...

Kwa habari zaidi, soma hapa => Azam yawatoa kimasomaso Watanzania, yaichapa Esperance ya Tunisia mabao 2-1 | Fikra Pevu
 
Azam na Yanga wameisha toka,hata wao wanajua kama wametoka
 
Back
Top Bottom