Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Kwani unafikiri agha Khan ni hospitali za maskini.eti fintech, mnapenda sana sifa wakunya kuna mwenzenu youtuber anaomba msaada wa kulipa bill hospitali huko YouTube. dingi ake kalazwa aga khan kisumu bill imekuja kubwa wameshindwa kulipa. kamchangie kwanza
Alafu hilo ulotaja halina uhusiano wowote na Fintech, angalau ungenipatia paybill number basi ndo ihusiane na mambo ya financial technology.