AzamTv bakini na League ya bongo tuu, huku kwingine hamna uwezo napo

AzamTv bakini na League ya bongo tuu, huku kwingine hamna uwezo napo

Chancel Mbemba

Senior Member
Joined
Aug 15, 2025
Posts
109
Reaction score
121
Yani nataka niangalie mechi za league ya italy na ujerumani kali sasahivi zinaendelea lakini ndio hivyo tena, naishia kuangalia league ya kenya na mechi ya Caf confederation.

Kulikua na haja gani mkasema mnaonyesha LALIGA, SERIE A, NBC, BUNDESLIGA,SAUDI PRO LEAGUE na LEAGUE ya Kenya?? Hamuoni mnataka kufanya mambo yalio nnje ya uwezo wenu ?! Channel zenyewe za michezo ni chache sana.

UTV nayo mlikua mnaonyesha mpira Jumamosi lakini tokea kampeni zianze NI HUZUNI!

HIVI WAKUU DSTV KING'AMUZI SHINGAPI?
 
Back
Top Bottom