Azania Sec. School (SPECIAL THREAD)

Mkuu unemaliza mwaka gani
 
nilikuwa chukia sana nikisikia mtu anasoma azania hata ilo eneo naondoka yaani kiufupi ukitaka nichukie useme unasoma azania tena hiwe mbele ya mademu dah 🀣🀣🀣🀣🀣
Tulikuwa tunapendwa na mademu kingese

Na hio ndo sababu washakaji wa shule zingine walikuwa hawatupendi
 
daah kipindi icho mbunye mnato tu, maana ni denti mwenzako siyo ?
Aaaah asikwambie mtu kipindi hicho kupata mbunye ilikuwa bahati kinoooma.

Yaan demu akitaka akutege anapandisha sketi anakuonesha paja, bac mwamba unapagawa, huelew siku nzima unawaza paja tuu.

Ngoziye na yeye alikuwa anacheza kama Pele, yale mabashi nilikuwa nayatumia vizur knooma.

Madogo wa siku izi hawaelew hustle tuliopitia
 
Me nilikuwa napenda tu madundo ila tatizo yalitawaliwa na o level jau kuvaa kijani ukaenda kwenye show. Sema sisi wakuchana sana freestyle za hiphop general wa temeke na rafiki yake udoba wa kigamboni
 
Nawakubali sana wanangu wa Aza boy , moja ya shule bora kabisa mjini Dar es salaam, inawakutanisha wanafunzi kutoka pande zote za jiji wakiwa na uwezo na vipaji mbalimbali. Nikiwa Azania sec nimekutana na vipanga , na Vijana wenye vipaji mbalimbali either mpira, kuchora, ku dance na kuimba .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…