Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Azam TV na Moto wao!!"Niliwauliza viongozi wa Simba Sc huyu kocha ametoka timu gani wakaniambia ametoka Vipers ya Uganda, niliwaambia mbona Vipers ni timu ndogo sana sisi tunataka kocha mkubwa sio kocha wa kutoka kwenye timu ndogo sisi malengo yetu ni makubwa”
Azim Dewji - Mfadhili wa Zamani wa Simba na mdau wa soka nchini akizungumza sakata la kocha Roberto Oliveira kutimuliwa.
mgunda ndo aiatiweka timu kihuni na mwenzie matola[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama namuona Mgunda anavochekea bafuni
vipers ilikuwa na watu kijana tena waliuza wengi sana.Kutoka timu ndogo si tatizo, wapo makocha waliotoka timu ndogo na bado wakawa na uwezo, shida tu kwa soka lake lile hakuwa kocha mzuri kwetu, ameonesha uwezo mdogo kuliko aliouonesha vipers.
vipers ilikuwa na watu kijana tena waliuza wengi sana.
Ni sahihi pia, mbinu zake zinahitaji workrate ya hali ya juu mnoovipers ilikuwa na watu kijana tena waliuza wengi sana.
Kweli mkuu. Suala ni kutafuta kocha bora anaendana na aina ya timu iliyonayo wala si kutoka timu kubwa wala ndogo.Kutoka timu ndogo si tatizo, wapo makocha waliotoka timu ndogo na bado wakawa na uwezo, shida tu kwa soka lake lile hakuwa kocha mzuri kwetu, ameonesha uwezo mdogo kuliko aliouonesha vipers.
Kama namuona Mgunda anavochekea bafuni
Hana ujinga na yuko sahihi. Labda wewe ndo una ujinga.Kumbe matajiri ni Wajinga pia?
Amesoma hata CV ya robertinho kweli?
Team Alizofundisha mbona ni kubwa kuliko simba.
HIvi Fluminese na Simba ipi ni team kubwa?
Sven anavyokuja Simba alikuwa amewahi fundisha Club yoyote?
Tatizo ni kuropoka kwingi as if mtaweza kuwalipa, msidhani kupata kocha mwenye mafanikio ya kimataifa mtakuwa mnamlipa pesa ya madafu, inahitajika hela kweliHana ujinga na yuko sahihi. Labda wewe ndo una ujinga.
Wadau wengi wa Simba walikuwa wanataka aje kocha aliyewahi kupata mafanikio makubwa kwenye soka la Africa (CAFCL au CAFCC). Robertinho ana CV gani kubwa kwenye hayo mashindano?
Wanasimba walitaka uongozi usilete tena hawa makocha wa kizungu wasiolijua vyema soka la Afrika (wakiwemo Sven Vandernbrock, Robertinho,n.k) bali waletwe wababe wa Kiafrika kama akina Florent Ibenge,aliyekuwa kocha Msaidizi wa timu ya taifa ya Ghana,n.k. Haya huyo Robertinho anafikia CV ya hao niliowataja?
Credit haikuwa kufundisha Fluminense, maana kuna mtu alikuwa kutoka Real Madrid (Gomez) na bado akachemka.Credit ilikuwa kulijua na kuliweza soka la Africa.
Sawa, nimekuelewa wewe unayegharamia usajili wa wachezaji na kuleta makocha klabuni kwako.Tatizo ni kuropoka kwingi as if mtaweza kuwalipa, msidhani kupata kocha mwenye mafanikio ya kimataifa mtakuwa mnamlipa pesa ya madafu, inahitajika hela kweli
Jaribu kufuatilia wenzetu wa Afrika Kaskazini ama Kusini wanawapipa sh ngapi ndio utajua kuwa, viongozi na mashabiki kinachowaponza ni kuropoka ilhali kugharamia hawawezi
Dr.Fupi ndo nani tena huyo boss? Hebu fungua code liumbuke jitu hapa. 😆🤣Fala wewe muuaji.
Utajiri wako ni wa damu.
Dokta fupi yuko wapi wewe jambazi wa nafsi.
Issue ni muache soka la Simba na Yanga, kuna mengi nje ya utani wa jadi, haiwezekani mdai kocha hana viwango na mmeanza nae ligiSawa, nimekuelewa wewe unayegharamia usajili wa wachezaji na kuleta makocha klabuni kwako.