Azim Dewji: Nilimkataa Robertinho kuwa Kocha wa Simba

Azim Dewji: Nilimkataa Robertinho kuwa Kocha wa Simba

Kutoka timu ndogo sio sababu, huyu mzee siku hizi anaropoka sana ndio tatizo lake.

Yule kishingo hata hajulikani alitoka timu gani, lakini mpira ilioucheza Simba ikiwa chini yake ilimfanya mpaka vilabu vikubwa Afrika vikamuona na kumchukua.
Kishingo alikuwa kocha msaidizi 2017 Cameroon ikichukua AFCON ubingwa. Akawa kocha mkuu Zambia national team ikashindwa kufuzu AFCON 2019. Akaachishwa ndio akaja Simba
 
Unarudia tena makosa, sababu ya Ujuaji.
Ulishindwa hata kugoogle? Hata kama hujui vitu.
Ni lini Gomez CV yake iliandikwa amepita Madrid?
Acha kujitia aibu, ujanja mwingi mbele kiza.
Eti gomez kapita madrid nani huyo kasema?mmadrid ei tule walitemtimua anavaa raba new balance
 
Gamond anakuja mrefu mbona.
Sijajua kiasi anacholipwa, na ni vizuri kuwekeza, issue aliyoongea jamaa hapo, kuwa wanataka kocha ambaye ana historia na mataji katika soka la Afrika ilhali gharama za kuwalipa ni ngumu kwa timu zetu

Achilia mbali aina ya wachezaji anaowataka ili kuimarisha kikosi
 
Back
Top Bottom