Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Sasa mnataka makocha wakubwa mnapesa ya kumlipa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishingo alikuwa kocha msaidizi 2017 Cameroon ikichukua AFCON ubingwa. Akawa kocha mkuu Zambia national team ikashindwa kufuzu AFCON 2019. Akaachishwa ndio akaja SimbaKutoka timu ndogo sio sababu, huyu mzee siku hizi anaropoka sana ndio tatizo lake.
Yule kishingo hata hajulikani alitoka timu gani, lakini mpira ilioucheza Simba ikiwa chini yake ilimfanya mpaka vilabu vikubwa Afrika vikamuona na kumchukua.
Eti gomez kapita madrid nani huyo kasema?mmadrid ei tule walitemtimua anavaa raba new balanceUnarudia tena makosa, sababu ya Ujuaji.
Ulishindwa hata kugoogle? Hata kama hujui vitu.
Ni lini Gomez CV yake iliandikwa amepita Madrid?
Acha kujitia aibu, ujanja mwingi mbele kiza.
Muulize huyo Mgunda ana mafanikio gani kwa timu alizofundisha hapa ndani.Nitajie kocha mmoja tu mzawa anayefundisha klabu kubwa nje ya Tanzania.
Sijajua kiasi anacholipwa, na ni vizuri kuwekeza, issue aliyoongea jamaa hapo, kuwa wanataka kocha ambaye ana historia na mataji katika soka la Afrika ilhali gharama za kuwalipa ni ngumu kwa timu zetuGamond anakuja mrefu mbona.
Hata yanga ni vivyo hivyosimba ni timu ya familia ya wahindi-stak kutaja sifa za wahindi.