mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Mfanyabiashara mashuhuri Azim Dewji ametoa msimamo wa kamati ya maridhiano na amani kufuatia kutekwa na kuuwawa kwa kiongozi wa CHADEMA Mohammed Ali Kibao ambapo amesema, wanalaani vikali kitendo cha mauaji ya kiongozi huyo na wanaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuundwa kwa tume huru itakayofanyia uchunguzi mauaji yayo na kuwatia nguvuni wote walioshiriki kitendo hicho chas kinyama.
Azim Dewji amesema watanzania wasiwe wepesi kulishutumu jeshi la polisi kuhusika na tukio hilo kwani sio polisi pekee ndio wanabeba silaha bali hata majambazi nao wanabeba silaha na kuwateka watu kisha kuwauwa.
Soma Pia:

- Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
- Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ally Mohamed Kibao wa CHADEMA
- Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana