Azim Dewji: Sio polisi tu wanabeba silaha, hata majambazi

Kushangaa cruiser Tanzania ni kama upo Coco beach halafu unashangaa kumbe Coco beach kuna bahari.
Sishangai cruiser, nashangaa wanazo nyingi, unlimited resources, na police wanawapisha au kuwaoa ushirikiano kabisa
 
Sasa hao majambazi kila siku wanateka watu mchana kweupe na kuwaua na vyombo vya dola vipo lakini vinashindwa kukomesha hali hiyo si tatizo hilo? Maana tokea wimbi hilo limeanza hatujasikia kukamatwa jambazi lolote likihusishwa na matukio hayo! Basi waziri Masauni na Igp Wambura waachie ngazi maana majambazi watakuwa wamewazidi nguvu.
 
Kwa yanayoendelea sioni dalili ya uhusika wa majambazi

Mtu anayeteka akauwa, awe polisi, awe jeshi, awe uwt au yeyote yule, anakuwa ni jambazi tu tena zaidi ya jambazi, ni haramia.
 
Wanifaika wa mifumo mibovu hua wanajichuja wenyewe.
 
90s mwishooni mpaka 2005 hivi,majambazi walitumia toyota surf,gari ambalo polisi hawakutumia,wahalifu wanna hela
I remember those days, but then police wa sasa wana maboresho makubwa, they have resources, nini kinawakwamisha
 
huyu Azim Dewji huyu ashukuru tu Mungu! kidogo na yeye angezika mwanae wakati ule! ashukuru kelele zetu! ila ipo siku yatamkuta
Kama anadhani kwamba sasa hivi yeye na familia yake wanakula mezani kwa 'mfalme' basi ajue this time wanaenda kumzika mazima, halafu arudi kuja kupiga porojo zake.
 
We deuji kumbe ulikamatwa na majambazi?achakuongea ngea mambo ya kitoto wakati na wewe ni muhahanga wa wasio julikana Acha ujinga umeshiba unaongea uchawa yaani jambazi wamukamate kwenye basi? Shiiit you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…