Azim Dewji tunakuheshimu acha kututafuta na kutukumbusha Usaliti wako wa 1993 kwa Kumtetea Mpwa wako kisha tufunguke Udhalilike

Azim Dewji tunakuheshimu acha kututafuta na kutukumbusha Usaliti wako wa 1993 kwa Kumtetea Mpwa wako kisha tufunguke Udhalilike

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama Wewe Mjomba Mtu uliweza Kutusaliti mwaka 1993 kiasi kwamba hadi Profesa Sarungi kila akikuona tu anakuita Azim Msaliti leo hii unapata wapi huu Uhalali wa Kutuasa wana Simba SC tumpe Ushirikiano na tumuamini Msaliti Mtoto Mohammed Dewji ambaye ni Mpwa wako.

GENTAMYCINE nikiwa na Ushahidi na Kujiamini kabisa nasema MSALITI wa Matokeo mabaya ya Simba SC ni Mo Dewji.
 
MO kasema atatoa taarifa, kwa umma kuhusu Nguruwe FC, bado kama saa 1 taarifa itoke!
 
Vipi ule mgao nimpe chama au inongo? Nasema hivi na manura apate ili tuwafunge goal 5 .Sawa mkuu nitafanya hivyo
GPzd-hVXoAAfQRp.jpeg
 
Ni kweli huwa nakutania na kukupinga.Lakini kwa hili naungana na ww MO ASEPE.
 
Back
Top Bottom