Azima appetite kwa mwenzako wengine wanazo mbili mbili

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Kwa wale tuliopitia jeshi, mnakumbuka maafande walivyotupa za mwaka, anaweza uliza wewe mbona huli wenzako wanakula, unamjibu afande sina appetite, si uazime appetite kwa wenzako, wengine wana appetite mbili mbili, akimaanaisha mess tin.
 
mmmh! nimeingia pasipo hapa...nionyesheni mlangoa wa kutokea tafadhari
 
Kwa wale tuliopitia jeshi, mnakumbuka maafande walivyotupa za mwaka, anaweza uliza wewe mbona huli wenzako wanakula, unamjibu afande sina appetite, si uazime appetite kwa wenzako, wengine wana appetite mbili mbili, akimaanaisha mess tin.
Ulikua operation ipi ?, huenda tulikua wote !
 
Back
Top Bottom