1. Tangia jumatatu hadi jana ijumaa, ndiyo hatimaye azimio limepitishwa lenye kuwa na yote aliyoyataka beberu mwenye vita vyake Gaza.
2. Kwamba limepitishwa azimio kumtaka HAMAS kuwaachia mateka wote na bila masharti yotote ili kuweka mazingira mazuri ya hatimaye vita kusita!
3. #2 hapo, hiki si ni kichekesho cha kufungia mwaka au ndoto za mchana mchana?
4. Kwamba #1 na #2 hapo beberu amekuwa akikomaa tokea jumatatu ile, hakuliki hakukaliki hadi maneno "kusitisha vita" (cessation of hostilities) yabadilike kuwa angalau "kuahirishwa vita" (suspension of hostilities) mara moja?
5. Hiyo #4 nayo bado akakomaa tena, kuwa kama hapo #2?
6. Kwamba hatimaye Russia imebidi kususa kupiga kura? Kwani ana nini Russia kimebakia duniani baada ya makando kando yake ya kule Ukraine?
7. Kwamba beberu pamoja na azimio lake hili, bado naye kalisusa kulipigia kura ya ndiyo? Ni dhahiri kuwa huyu ndiye bwana vita mwenyewe:
Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS
8. #7 hapo; kwa hakika Iran anatafutwa kweli kweli.
9. Heko HAMAS kwa kutambua huna wajomba eala Shangazi hata uarabuni huko; "ya kuwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe:"
10. Kwa hakika hata kwa dunia pia, kama Tanzania hazipo zama zile za wanaume na wanawake wa shoka; za kina Nyerere, Winnie, Mandela, Mugabe, Gaddafi, Saddam, Assad Sr, nk
11. #10 hapo labda sana sana anabakia Pyongyang anayeweza kusimama lau na kiduku kichwani akaonekana.
12. Kwa hakika kwa mujibu wa #11 kwingine kote takribani tumebakiza "wachumba wachumba" tu.