Naunga mkono hojaHakuna taasisi naidharau kama hii, wanapoteza resource nyingi kwa maana ya gharama za kifedha na muda kwa upuuzi. Ni chombo moja cha hovyo sana kutokea duniani, kiliundwa kwa makusudi kabisa ili yake mataifa matano yenye kura za veto kulinda maslahi yao ni kama ukoloni fulani.
Sasa hiv mpaka mjambe jews kawakalia vibaya na kwasasa wanamtafuta Iran1. Tangia jumatatu hadi jana ijumaa, ndiyo hatimaye azimio limepitishwa lenye kuwa na yote aliyoyataka beberu mwenye vita vyake Gaza.
2. Kwamba limepitishwa azimio kumtaka HAMAS kuwaachia mateka wote na bila masharti yotote ili kuweka mazingira mazuri ya hatimaye vita kusita!
View attachment 2850344
3. #2 hapo, hiki si ni kichekesho cha kufungia mwaka au ndoto za mchana mchana?
4. Kwamba #1 na #2 hapo beberu amekuwa akikomaa tokea jumatatu ile, hakuliki hakukaliki hadi maneno "kusitisha vita" (cessation of hostilities) yabadilike kuwa angalau "kuahirishwa vita" (suspension hostilities) mara moja?
5. Hiyo #4 nayo bado akakomaa tena, kuwa kama hapo #1?!
6. Kwamba hatimaye Russia imebidi kususa kupiga kura? Kwani ana nini Russia kimebakia duniani baada ya makando kando yake ya kijinga jinga kule Ukraine?
7. Kwamba beberu pamoja na azimio lake hili, bado naye kalisusa kulipigia kura ya ndiyo? Ni dhahiri kuwa huyu ndiye bwana vita mwenyewe:
Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS
8. #7 hapo; kwa hakika Iran anatafutwa kweli kweli.
9. Heko HAMAS kwa kutambua huna wajomba eala Shangazi hata uarabuni huko; "ya kuwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe:"
View attachment 2850345
10. Kwa hakika hata kwa dunia pia, kama Tanzania hazipo zama zile za wanaume na wanawake wa shoka; za kina Nyerere, Winnie, Mandela, Mugabe, Gaddafi, Saddam, Assad Sr, nk
11. #10 hapo labda sana sana anabakia Pyongyang anayeweza kusimama lau na kiduku kichwani akaonekana.
12. Kwa hakika kwa mujibu wa #11 kwingine kote takribani tumebakiza "wachumba wachumba" tu.
Kichaka cha upigaji tu.Ndiyo maana DRC kaamua kuwatimua MONUSCO wakiwa kule 13 years na budget $6.3Bn kwa mwaka lakini tija, Sifuri.
Sasa hiv mpaka mjambe jews kawakalia vibaya na kwasasa wanamtafuta Iran
Kichaka cha upigaji tu.
Wamtafute kwani kajificha wapi si wamfate huko alipojifichia au wanamuogopa?Sasa hiv mpaka mjambe jews kawakalia vibaya na kwasasa wanamtafuta Iran
Mzungu hakurupukagi Mzee. Anapiga hesabu zake kabisa akishinda vita anajilipaje na mafuta ya nchi yako. Achana na Babylonian system ChiefWamtafute kwani kajificha wapi si wamfate huko alipojifichia au wanamuogopa?
Wekeni matako chini waislamu, wanaume bado wanaendelea kusafisha Gaza ok punguzeni mayowe hamkumbuki vita vilianza vipi???1. Tangia jumatatu hadi jana ijumaa, ndiyo hatimaye azimio limepitishwa lenye kuwa na yote aliyoyataka beberu mwenye vita vyake Gaza.
2. Kwamba limepitishwa azimio kumtaka HAMAS kuwaachia mateka wote na bila masharti yotote ili kuweka mazingira mazuri ya hatimaye vita kusita!
View attachment 2850344
3. #2 hapo, hiki si ni kichekesho cha kufungia mwaka au ndoto za mchana mchana?
4. Kwamba #1 na #2 hapo beberu amekuwa akikomaa tokea jumatatu ile, hakuliki hakukaliki hadi maneno "kusitisha vita" (cessation of hostilities) yabadilike kuwa angalau "kuahirishwa vita" (suspension of hostilities) mara moja?
5. Hiyo #4 nayo bado akakomaa tena, kuwa kama hapo #2?
6. Kwamba hatimaye Russia imebidi kususa kupiga kura? Kwani ana nini Russia kimebakia duniani baada ya makando kando yake ya kule Ukraine?
7. Kwamba beberu pamoja na azimio lake hili, bado naye kalisusa kulipigia kura ya ndiyo? Ni dhahiri kuwa huyu ndiye bwana vita mwenyewe:
Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS
8. #7 hapo; kwa hakika Iran anatafutwa kweli kweli.
9. Heko HAMAS kwa kutambua huna wajomba eala Shangazi hata uarabuni huko; "ya kuwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe:"
View attachment 2850345
10. Kwa hakika hata kwa dunia pia, kama Tanzania hazipo zama zile za wanaume na wanawake wa shoka; za kina Nyerere, Winnie, Mandela, Mugabe, Gaddafi, Saddam, Assad Sr, nk
11. #10 hapo labda sana sana anabakia Pyongyang anayeweza kusimama lau na kiduku kichwani akaonekana.
12. Kwa hakika kwa mujibu wa #11 kwingine kote takribani tumebakiza "wachumba wachumba" tu.
Wekeni matako chini waislamu, wanaume bado wanaendelea kusafisha Gaza ok punguzeni mayowe hamkumbuki vita vilianza vipi???
Vita hivi vya Gaza vitaishia palipo anzia ok na sio UNSC nyie tulieni bwana
Narudia tena hakuna taifa litakalo ivamia iran mzee hakunaMzungu hakurupukagi Mzee. Anapiga hesabu zake kabisa akishinda vita anajilipaje na mafuta ya nchi yako. Achana na Babylonian system Chief
Yaan wewe mzungu anaogopa kufa akaweza kuitawala Dunia? We chiz kweli. Mtu anaemuangaisha hawa western muda huu ni mchina maana nguvu anazokuja nazo hapo juu sio za kitoto. Na mtu anaemuogopa kwa kias ni mrusi ndio walikuwa wanapambana kumpunguza nguvu. Iran wala hawapigan nae unatumiwa mtu tu kama Ukraine alivyotumwa kwa mrusi anakuivisha unalegea anawatengenezea mamluki mnapigana kama Libya yeye ni kuwaibia tu. Wazungu wanaishi kwa kupora Mzee na hawajali wao watakufa wangapi. Iran ni mtu anaetafutwa engo nzuri subir muda ufike. Uwe na silaha zipige mpaka NY kwao sio shida. Shida ni watimize malengo. So hawa jamaa ni washairisha kwenda mbinguni muda sana. Hawajali. Hicho kinachofanyika hapo Gaza angekuwa amefanya mrusi pale Ukraine ungesikia kelele zake. So usitoke sana mishipa ukadhan hii Dunia inaendeshwa katika mpangilio unaodhan ni sawa. Wanaoujua kudance namna mzungu anavyofanya wanaendeleza nchi zao.Narudia tena hakuna taifa litakalo ivamia iran mzee hakuna
Iran sio kama hawatamani kuivamia wanatamani sana
Ila iran atapiga kambi za marekani zote zinazohost majeshi mashariki ya kati nanje ya hapo atapiga mpaka ulaya na marekani kwenyewe
Kiufupi iran atapigwa ila sasa hao watakao mpiga iran baada ya kumpiga watakua taaban na hakuna mtu anaetaka PARIS LONDON NEW YORK ipigwe
Hakuna rais anaetaka majeshi yao yaliopo mashariki ya kati yateketee kama mpunga
Iran wanakua wanamuundia zengwe ndani kwake kama walivyo fanya kwa libya ili wakifanikiwa wawe wanapenyeza silaha wauane wenyewe wao wakija kuingia nchi iwe haina tena nguvu na wanafail tokea mwaka 80 walipo ipiganisha na Iraq wakaikosa ndio walifail pale kuipata tena iran hilo musahau
Njia pekee ya kumpiga iran eidha wafanikiwe kupandikiza kiongozi kibaraka ama walete machafuko ndani ya iran
Nje ya hapo msijidanganye mzee tena futeni hayo mawazo
Iran kashatimiza vigezo vyote vyakuchapwa na western ila wanajua kumchapa iran kutaambatana na gharama kubwa ambazo hakuna anaetaka zimkute
Kama unabisha tutakufa mie na wewe nawengine tutaiacha iran inapigagwa vikwazo na maneno matupu
Mafuta ya iran mazuri na wanayataka ila gharama zakuyachukua ndio tatizo
Ndo mjue nchi yenye nguvu Duniani ni moja tu, Marekani,haya sasa ziko wapi nguvu za Urusi?1. Tangia jumatatu hadi jana ijumaa, ndiyo hatimaye azimio limepitishwa lenye kuwa na yote aliyoyataka beberu mwenye vita vyake Gaza.
2. Kwamba limepitishwa azimio kumtaka HAMAS kuwaachia mateka wote na bila masharti yotote ili kuweka mazingira mazuri ya hatimaye vita kusita!
View attachment 2850344
3. #2 hapo, hiki si ni kichekesho cha kufungia mwaka au ndoto za mchana mchana?
4. Kwamba #1 na #2 hapo beberu amekuwa akikomaa tokea jumatatu ile, hakuliki hakukaliki hadi maneno "kusitisha vita" (cessation of hostilities) yabadilike kuwa angalau "kuahirishwa vita" (suspension of hostilities) mara moja?
5. Hiyo #4 nayo bado akakomaa tena, kuwa kama hapo #2?
6. Kwamba hatimaye Russia imebidi kususa kupiga kura? Kwani ana nini Russia kimebakia duniani baada ya makando kando yake ya kule Ukraine?
7. Kwamba beberu pamoja na azimio lake hili, bado naye kalisusa kulipigia kura ya ndiyo? Ni dhahiri kuwa huyu ndiye bwana vita mwenyewe:
Gaza ni Marekani dhidi ya Palestina si Israel na HAMAS
8. #7 hapo; kwa hakika Iran anatafutwa kweli kweli.
9. Heko HAMAS kwa kutambua huna wajomba eala Shangazi hata uarabuni huko; "ya kuwa mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe:"
View attachment 2850345
10. Kwa hakika hata kwa dunia pia, kama Tanzania hazipo zama zile za wanaume na wanawake wa shoka; za kina Nyerere, Winnie, Mandela, Mugabe, Gaddafi, Saddam, Assad Sr, nk
11. #10 hapo labda sana sana anabakia Pyongyang anayeweza kusimama lau na kiduku kichwani akaonekana.
12. Kwa hakika kwa mujibu wa #11 kwingine kote takribani tumebakiza "wachumba wachumba" tu.
Wewe mtoto wa mbwa CHADEMA imeingiaje hapa?Halafu chadema wanategemea wazungu kuindoa ccm.