Azimio La Arusha: Why We Were Dead Wrong!

 

Mkuu kwa sasa Tanzania yetu haina mwelekeo. hakuna mtuj anayeweza kukaa na kufikiri Tanzania iende wapi. Angalia mambo ambayo CCM iko busy nayo, angalia mambo ambayo mawaziri wetu wako busy nayo, utajua wazi kabisa kuwa we are not thinking as a country, not even as mikoa. Kila kitu hovyo hovyo hovyo.
 

My friend,
African socialism is a myth. We didn't have one and we won't have one. I say this because Africa is a big continent with diverse communities, and some of these communities entail cultures and traditions that are ancient as civilization itself. How could we come up with an idea that is universal in the whole continent?
I believe Tanzanians should start taking care of themselves, and devise policies that will help the country to lift itself from the abyss of backwardness.​
 
...I bet he was not a good listener, when it came to those issues. I mean he was not supposed to be good in those. All he needed was to listen to his advisers.

washauri gani na wakati ho wasomi wenyewe walikuwa wakuhesabu. if at ll they were many at leat we could have something to say on this.
 



Alright Waberoya.

Naomba niwaulize swali wewe na W. J. Malecela. Hivi sheria uandaliwa na kutungwa ili ku-enforce mambo gani? Je, utungwa ku-enforce abstract things?

Mimi naelewa kwamba, sheria utungwa katika kuweza ku-enforce misingi fulani (statements, directives na objectives) iliyoainishwa katika sera fulani. Kwa mfano, sheria ya mazingira ya mwaka 2004 ipo katika kuweza kuhakikisha sera ya mazingira ya mwaka 1997 inatekelezeka na directives zake kuwa enforced. Vivyo hivyo kwa sheria mbalimbali hapa nchini, naelewa utaratibu ndiyo huo. Na mara nyingi, sera zisizokuwa na sheria ndizo zenye matatizo hapa nchini katika utekelezaji wake. Kwa mfano hii nyimbo ya Kilimo Kwanza, kwa jinsi ilivyo sasa hata iweje haiwezi kutekelezeka; mpaka pale patakapotungwa sheria ya ku-enforce yake yaliyoainishwa katika sera hiyo, ndipo sera yaweza kutekelezwa kwa mafanikio. Hivyo sera uandaliwa na kutoa directives na statements za namna gani ya kufanikisha malengo ya sera husika, lakini ili kuhakikisha malengo hayo yanafikiwa, sheria utungwa kwa ajili ya ku-enforce statements na directives husika (ambapo taratibu uwekwa {kupitia charges, penalties, fines, imprisonment} in-case directives na statements hazitekelezwi kama ilivyoainisha); kisha sheria yaweza kuwa supported na regulations ambazo utoa miongozo na taratibu za ku-enforce sheria husika.

Sasa nikirudi katika suala la Azimio la Arusha, ni vyema Waberoya umekiri kwamba azimio lilikuwa lina NIA nzuri. Hata W. J. Malecela awali alisema kwamba azimio lilikuwa lina mambo mazuri ya kusoma, pengine yasiyotekelezeka, vyema pia. Sasa kama nyote mmeweza kukiri NIA nzuri ya azimio, na mmesema wazi kwamba lilikuwa halina meno ya kulitekeleza, kwani sheria pekee ndiyo inaweza kufanya hivyo, je, hamwoni ni wasaa muafaka wa kuwa na mjadala wa namna gani tunaweza kutumia misingi mizuri ya azimio (iliyo relevant na today's context) katika kuweza kuandaa na kutunga sheria ambazo zitaweza - by default - kupelekea utekelezaji wa azimio?!

Tunaweza kutumia misingi ya azimio (kama masuala la kupinga unyonyaji, uwajibikaji wa viongozi na watumishi wa umma {kupitia miiko ya uongozi}, kujitegemea na suala la siasa na uongozi bora) katika kuandaa na kutunga sheria zitakazo enforce masuala hayo. Sheria itakayoweka bayana nini kitafanyika endapo kiongozi/mtumishi wa umma akienda kiyume na miiko husika, taratibu a, b, c, n.k. zitachukuliwa dhidi yake; sheria itakayoweka bayana namna ya kuiwajibisha serikali inayoshindwa kukusanya kodi kwa ajili ya maendeleo ya dola na taifa nzima - kwa vile suala la kujitegemea katika azimio lilijikita katika kupanua uwigo wa ukusanyaji wa kodi, sasa tunaona serikali inavyoshindwa kila wakati kuongeza uwigo wa mapato kupitia kodi - huku ikitoa msamaha mkubwa sana wa kodi. Sasa kwa msingi huo, azimio linatupa msingi mzuri wa kuandaa sheria itakayoweza kutoa taratibu za nini cha kufanya endapo serikali itashindwa kukusanya kodi kwa ajili ya kulifanya dola lisiwe tegemezi.

Naamini nia yetu sote ni kuona taifa letu linasonga mbele pamoja na watu wake- sio linasonga mbele na viongozi wake tu. Sasa ndugu Waberoya na Willie, tukiuweka mjadala katika misingi hiyo, ninaamini tunaweza pata hitimisho litakalokuwa na manufaa kwa taifa letu kwa ujumla. Otherwise, mjadala ukiendelea kama ulivyo, hakika hatuwezi kufika mwisho - tutabaki katika kuponda na kupinga azimio bila ya kuleta wayforward (hapa msije na azimio lenu la Zanzibar a.k.a ubepari uchwara - kwani hadi sasa hamjaonyesha mafanikio yake halisi).
 
Last edited by a moderator:
William Mkoa/Mji wa dodoma hivi sasa walau unatamabaa tofauti na mkoa kama singida au Kigoma sababu ya "ujamaa".

Japo sio ujamaa wamoja kwa moja wa azimio la rusha Lakini concept ni hiyo hiyo yaanikujitegemea . Sijui kama Utagoma . Au sababu US, UK hawakupitia path hiyo basi haiwezi kuua njia sahihi

Ujamaa na kujitegemea kwenye AD ni concept zaidi ya vijiji unvoyponda. Azimio la arusha na ujamaa ulilelenga kuwafanya watanzania waweze kumobilise resosurces zao kusaidiana kijuiendeleza kuliko kusubiri kutegemea misaada tu ya nje Yenye masharti yake......

Si unajua lilipitishwa "azimio" wananchi Tanzania nzima wakakatwa mishahahara yao na mapato yao ili kuijenga dodoma.( Your region) Were we deadly wrong ? . Mji wa dodoma umejengwa kwa "ujamaa "

Sasa akija kiongozi fulani mwingine na azimio lake kupitia chama chochote kuwa kila miaka mitano mfululizo wafanyakazi watakatwa mishaahara (eg Tsh 500 kila mwezi ) kuuchagia maedeleo ya mkoa iliyo nyuma kimaendeleo( Eg Kigoma, Singida etc) Ikiisha miaka mitano mfuko (Kama wa ulivyouwa CDA ) Azimiona mfukowake linahamishiwa mkoa mwingine. Utasemaje ?


  • [*=1]Je Pesa zikitafunwa na WALAFI wachache tumlaumu aliyekuwa na wazo zuri/baya kuwa kashindwa?
 
washauri gani na wakati ho wasomi wenyewe walikuwa wakuhesabu. if at ll they were many at leat we could have something to say on this.

Why do you equate wasomi with advisers?
 


Nzi,

Tell me why should we use AA as a baseline to start a new declaration? If you want one, we have a rich history, and that should serve us well.
 
Sir,

I didn't ask any university. I have asked top 10. Anyway number 3 tells the story why people have to learn AA.
What do you mean by top?
MBONA UNAPENDA UBISHI WA KITOTO?
AD is a philosophical document, you don't think so?
 
What do you mean by top?
MBONA UNAPENDA UBISHI WA KITOTO?
AD is a philosophical document, you don't think so?

Nyerere's collection of essays on Ujamaa might at least qualify as a philosophical quest. But AD doesn't.
 
Nzi,

Tell me why should we use AA as a baseline to start a new declaration? If you want one, we have a rich history, and that should serve us well.
Zakumi. I didn't say we should have a new declaration. Basing on what Waberoya and William were arguing - about the lack of legal capacity/power of the Arusha Declaration - I am proposing for a discussion on how we should make use of the relevant statements and directives from the declaration in developing and enacting legislation and regulations that will - by default - enforce the Arusha declaration.

Bearing in mind the fact that legislation are developed and enacted to enforce certain policy statements and directives - so if we could make use of AD - in the context of its statements and directives - we could come up with laws and regulations to enforce issues of lack of accountability among public servants, social/political/economic injustices, state self-reliance etc.
 
Last edited by a moderator:

mkuu
some of ideas in Azimio should be permanent things like patriotism,emphasis on hard working, leadership ethics and others of that kind but the strategies to implement azimio were suppose to be temporaly such as villagelization.

i did not say it was to be temporarly what i said is, by that time there were few educated mwalimu been one of those few he came with the idea he believed to bring changes for the good(well being) of the people if there were many educated and patriotic i believe they would have helped mwalimu to make Azimio work more perfectly it is not if there were educated than him they would have refused azimio. i dont think so.

what i ntended to say is educated can decide for the majority but for the good of the whole nation, who said colonialist were educated anyway? but if you take them as educated they dont fit to be in group of making decision for our nation coz they are not part of us hence can not make decion for the good of the nation, their aim was to exploit not to develop. in this case mwalimu and colianist are two things that are different.
i correct you mkuu.
 
Zakumi.
Kumbuka kuwa hicho unachokiita Myth, ndicho kilichopo kwa katika itikadi, imani, falsalsa, mitazamo, desturi, mila, na MANTIKI nafsini mwetu, tangu kuzaliwa mtu mweusi anafundishwa kuishi hivyo, ila tu kwa wale waliopindishiwa mantiki hii na wavamizi purposeful, na hata siku moja hawawezi kututakia mema. Ndio maana leo tunashindwa kuishi upuuzi ubepari, our minds and souls haziko tayari kupokea, ndio maana hatuachi kulalama! Najua na nakiri kabisa , kizazi chetu hakiwezi kushuhudia ujamaa, kwakuw ni attitude of mind kuupokea, lazima tuanze taratibu kufanya mapinduzi ya nafsi zetu, ukishapokewa nafsini mwetu, vitendo vitafuata. (aje, kama naota enh!?) Makanisani/Misikitini watu wanahubiriana, wanajitoa muhanga. Na iwe hivyo kwa ujamaa, nayo ni imani kama nyingine, tofauti ni ndogo tu, kwamba UJAMAA NI IMANI YA MUNGU ALIYE HAI, tofauti na imani nyingine zilizopo sasa, nje ya vitabu vyao. Kizazi chetu kitapita, lakini kijacho kitashuhudia matunda hayo, gharama ya upendo wetu kwao! TUTANGAZE AZIMIO JIPYA.
Mzungu pale alipo, babu zake ndio waliofikiria beyond tomorrow, waliumiza vichwa, kwanini isiwe kwetu kwa vijukuu vyetu humu kaburini tulikozikwa hai na mzungu?
Mtu makini huongozwa na MANTIKI iliyomo nafsini mwake, UTU KWANZA, na si mifumo isimikwayo na hisia za watu. MAISHA NI FURAHA, KAMA HAIPO, NI UPUUZI.
Mungu wetu anaita!
 
Nyerere's collection of essays on Ujamaa might at least qualify as a philosophical quest. But AD doesn't.

why do you think AD is not a philosophical document? or that depends on your definition of philosophy
but it is a philosophical document.
 

- Mimi ndiye mleta mada, ninasema hivi ninamuangalia Mwalimu on his policies sio yeye kama binadam, na ninasema hivi Azimio was a failure na ndilo limetufikisha hapa Wa-Tanzania, hatujui tulikotoka!

- Tatizo sio Mwalimu as a human being, tatizo ni policy yake ya Azimio la Arusha, it was not real it was a fake policy ndio maana ilibidi ife!


William.
 
The study of Philosophy can be used as a tool that can aid all aspects ofliving and relationships. The real subject of philosophy is oneself and theexamination of oneself, one's relationships with other people, and one'srelationships with objects and ideas. Philosophy is, therefore, about the world within us, the world between us, andthe world around us.And this world is not just the world of objects, but of thoughts, of ideas, andof values. Philosophy demands an honest look at ourselves and at life.

by this definition , AD is a philosophical document it involves thoughtful ideas and critical ways of solving particular problem. na mengineyo usiishushe hadhi kiasi hicho kutoipenda hakuitoi katika sifa inayostahili pengine.
 

- OK LETS PUT THE RECORD STRAIGHT:

In Azimio La Arusha we were dead wrong, pamoja na kwamba tunajua kwamba it was not a collective theory zaidi ya kuwa theory za mtu mmoja,

- NINASEMA HIVI AZIMIO LA ARUSHA LILIKUWA NI WRONG NA VERY DEAD KWA SABABU LILIKUWA UNREALISTIC AND AGAINST VERY HUMAN NATURE, NA KWA KAWAIDA VITU VYA NAMNA HIYO HUISHIA KUFA, NDIO MAANA LILIKUFA NA SASA HALITARUDI TENA MAANA NI WASTE!

William.
 

Tataizo mkuu unaji contradict kwenye maelezo yako.

Inapendeza ukidadavua

  • tukitoa mifano kwamba azimio lilkuwa failure kivipi .Je was azimio total 100% or even 90% failure. (to me No) Hivi W. J. Malecelahuoni hata japo 20% ya +ve input ya azimio la arusha In Tanzania au unalidhauri sababu kwako ni faliure. Think beyond you and mtazamaji.Think beyond Dar and Dodoma city
  • Limetukifisha hapa negatively kaisi gani? Na bila Azmio lenyewe Projection yako Tanzania tungekuwa kama nchi gani ya mfano (Usiseme kenya Please) . Na asilimia ngapi ya watanzania wangekuwa well off or worse of Kielimu, kiuchumi na kupata huduma za jamii.
 
Nadhani sasa naelewa wapi tunapokosana ktk mtazamoa.. Mkuu wangu Azimo la Arusha sio Policy ila kuazimia, ni NIA ambayo itazama historia ya watu wake kisha ndio zinaundwa policy na sheria ambazo wewe, mimi na watu wengine hatukuzipenda baadhi yake. Hivyo hata sisi yapo mambo ambayo yalipitishwa ili kutekeleza siasa za Ujamaa na Kujitegemea ambazo hatukuzipenda lakini haina maana Azimio lenyewe ndilo lilikuwa kosa.

Nadhani hii inatokana na kutoelewa maana ya Azimio a Arusha na sababu zilizotufanya tukalichukua.. Na ajabu sana naposikia watu wanasema yalikuwa mawazo ya Nyerere bila kufahamu ya kwamba Nyerere mwenyewe aliingizwa na kina Babu wana Pan Africa ambao walikuwa wakipiga vita Ukoloniwa na utumwa wa kiuchumi kwa Mataifa makubwa. Ni sawa na leo hii wewe ukiamua kuwa maskini jeuri hukubali kuchukua hongo toka kwa Rostam au Lowassa ili kumtumikia yeye ukasema I wonna stand by myself.

Wazo hilo haliwezi kuwa kosa kwa sababu hukufanikiwa isipokuwa kosa linaweza kuja kwa hatua utakazo chukua wewe mwenyewe kujineemesha iwe hata hapa JF unaweza kuharibu watu wakakuchoka, kisha watu wakasema bora angekuwa kambi ya Lowassa. Ni kweli tuliporuka tumejikuta kunakanyaga kinyesi na hivyo tunaharibikkiwa zaidi ndio maana tunataka kurudisha NIA ya Azuimio la Arusha. Kujitambua sisi wenyewe kwanza kabla ya kuendelea kuyatumikia mataifa makubwa ambayo yanaendelea kutunyonya. A Barrick case haikuwa bahati mbaya wala kuuzwa kwa Tipper na mashirika mengine yaliyofilisiwa, maana lengo lilikuwa tkuturudisha ktk Taifa tegemezi... Hii misaada tunayoihitaji leo haipo kwa bahati mbaya na wala hatuwezi kuiepuka ikiwa hatuna NIA ya kuhakikisha kwamba mbele ya safari tunataka kujenga taifa la KUJITEGEMEA..

Mtu yeyote aanyeishi kwa baba au wazazi wake ni lazima aweke nia ya kuwa ipo siku ataanzisha familia yake mwenyewe, ataweka nia ya kuondoka kwa wazazi wake na kuoa/kuolewa, laa sivyo atajikuta maisha yote akitafuta visingizio vya hajampata amtakaye, beautiful ones hawajazaliwa na kadhalika kwa sababu ni mtoto wa Mama. Na ukimkuta mama anayejua fika kwamba wewe ndiye unamweka mjini hatakubali uoe ama uolewe bila kuhakikisha maslahi yake hayatapotea. Tunachokifanya sasa hivi kitaifa ni uhuni tu umalaya wa tukisema sii lazima kuoa au kuolewa ..Hivyo NIA ya kujikata na kuanza maisha yetu wenyewe bila kuwa tegemezi ama kutumiwa - Haya ndio yalikuwa malengo ya Azimio la Arusha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…