Wanakumbi.
🚨🇺🇳🇵🇸BREAKING: UN YAPITIA AZIMIO LA KUSAIDIA UANACHAMA WA PALESTINA
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya na kuunga mkono uanachama kamili wa Palestina katika Umoja wa Mataifa.
Nchi mia moja arobaini na tatu zilipiga kura kuunga mkono azimio hilo, tisa zilipiga kura dhidi yake, na nchi 25 zilijizuia kupiga kura.
View: https://x.com/marionawfal/status/1788957972036456813?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Haina ubavu huoMarekani itakataa kwa Veto !
Hapo ni inatakiwa kura moja tu ya vetu Mambo yaendelee kama kawaidaWanakumbi.
🚨🇺🇳🇵🇸BREAKING: UN YAPITIA AZIMIO LA KUSAIDIA UANACHAMA WA PALESTINA
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa lilipitisha kwa wingi azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya na kuunga mkono uanachama kamili wa Palestina katika Umoja wa Mataifa.
Nchi mia moja arobaini na tatu zilipiga kura kuunga mkono azimio hilo, tisa zilipiga kura dhidi yake, na nchi 25 zilijizuia kupiga kura.
View: https://x.com/marionawfal/status/1788957972036456813?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Haina ubavu huo ?Haina ubavu huo
Unajua unachoongeaHaina ubavu huo
Ambayo ni obvious marekani haiwezi kukubaliHapo ni inatakiwa kura moja tu ya vetu Mambo yaendelee kama kawaida
Ikiendelea kushupaza shingo itapuuzwa na haina uwezo wa kupigana na dunia nzima!Marekani itakataa kwa Veto !
Take la farasi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hivi ile kesi ya Africa Kusini ya kuwafunga Wayahudi wote iliishia wapi?
Yaani sheikh wangu RITZ AMEBAKI PEKE YAKE ANAPAPATIKA KILA SIKU NA VISTORY AMBAVYO HUISHIA HEWANI... ANAKAA TENA ANAJIPAPATUA ANAIBUKA NA UZI MWINGINE. WENZAKE WAMESHA M SHIT WAMEONA WAMEONGEA SANA NOTHING HAPPENED.Take la farasi
VETO ina nguvu kwenye kikao cha UNSC (United Nations Security Council) ila kwenye kura za UNGA (United Nations General Assembly) haina effectUnajua unachoongea
Unajua maana ya veto
Na lazima liende kule ili palestine awe na full membershipVETO ina nguvu kwenye kikao cha UNSC (United Nations Security Council) ila kwenye kura za UNGA (United Nations General Assembly) haina effect
Kwa hiyo hili suala likienda kuzungumziwa kwenye UNSC hapo ndio Marekani ataweza kutumia VETO kupinga
Yeah point yangu ilikuwa hapoNa lazima liende kule ili palestine awe na full membership
Umeshiba maharage ya wapi? Mbona hatukuona Afrika inapeleka jeshi kumtetea Gadaffi? Shida siyo kuitambua Palestina , kila mtu anaitambua palestina lakini vitendo viko wapi? Nani atapeleka jeshi kupigana na Israel na US? Ujue tukio lolote litakalotukia la kutishia uwepo wa taifa la kiyahudi itasababisha Israel ifyatue nyuklia kwa adui yoyote atakayejaribu kupeleka jeshi.Ikiendelea kushupaza shingo itapuuzwa na haina uwezo wa kupigana na dunia nzima!