Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya uanachama wa Palestina lapitishwa

Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya uanachama wa Palestina lapitishwa

Kura zilizopigwa leo kumekuwa na ongezeko kwa sababu mataifa mengi wanachama wameguswa na uonevu wa Israeli wametamani sasa Palestina ikiwezekana iwe member wa kudumu wa UN
Niwie radhi mkuu nimekujibu kimakosa nilikuwa namjibu Muisrael mweusi wa Nachingwea.
 
Ata kama U.S.A akipitisha ila Israel akasema hapana hakuna wa kumzuia kuitawala gaza.
 
Back
Top Bottom