Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kufikiria upya uanachama wa Palestina lapitishwa

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Hivi ile kesi ya Africa Kusini ya kuwafunga Wayahudi wote iliishia wapi?
Bora hata ungekaa kimya vitu vingi ufahamu aisee hata ufahamu kesi inaendaje daaah JF kuna wajinga wengi mnoo Marekani kila siku anapambana ICJ wasitoe kibali cha kukamatwa viongozi wa Israel somo hii na mapunguani wenzako πŸ˜‚


View: https://x.com/naksbilal/status/1789006341526483379?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Kura zilizopigwa leo kumekuwa na ongezeko kwa sababu mataifa mengi wanachama wameguswa na uonevu wa Israeli wametamani sasa Palestina ikiwezekana iwe member wa kudumu wa UN
Niwie radhi mkuu nimekujibu kimakosa nilikuwa namjibu Muisrael mweusi wa Nachingwea.
 
Ata kama U.S.A akipitisha ila Israel akasema hapana hakuna wa kumzuia kuitawala gaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…