Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa Diplomasia ya Uchumi na Demokrasia, Kuna Waziri Ameharibu Kutaja Masherti ya MCC!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimishwa kuzifuata na nchi mabeberu.

Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi tumefanya wenyewe!.

Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.

Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.

Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...

Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!

Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?! Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!

Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?

Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.

Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.

Kwa wasioujua wema wa

Paskali
 
Wanabodi
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.

Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.

Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.

Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.

Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...!.

Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!.

Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?!. Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!.

Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu
Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.

Paskali
Ila ni bora hivyo kuliko mienendo mibaya tuliyoifuata wakati fulana kama taifa 🤔
 
Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu.

Paskali
Kwani hili nalo lilikuwa siri?

Halafu haya maazimio ni uchawa tu.
 
Wanabodi
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.

Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.

Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.

Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.

Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...!.

Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!.

Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?!. Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!.

Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?

Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.

Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.
Kwa wasioujua wema wa

Paskali
Mkuu Pasco mimi sijaona kosa maana la mwigulu Maana tuliimbishwa kuwa mama ndio kaamua kumbe ni shurti la mikopo ambayo tutalipa pia kwa jasho ndio maana mgao ukatoka watu wakalamba asali kutoa Ulaya haraka ,Mungu ameamuwa kuwaumbua waongo wale

USSR
 
Wanabodi
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.

Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.

Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.

Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.

Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...!.

Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!.

Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?!. Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!.

Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?

Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.

Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.
Kwa wasioujua wema wa

Paskali
Technically sidhani kama ni kumharibia unless hizo pesa za MCCL huzitaki..

Binafsi nazitaka Kwa sababu hakuna Cha Bure bila masharti so long as hayo masharti sio haribifu kwetu,yangekuwa ni mabaya hakuna Waziri angetaja..

Pili unaposema Mwendazake alikataa wenye mimba kusoma Sasa kwani hapo alikuwa anakomoa Wazungu au Watoto wetu?

Kwanza hawakupewa nafasi ya kusoma na pili na pesa unakosa Sasa haya mambo hayahitaji kukaza fuvu, maskini unamkazia nani fuvu?

Kumbuka ukikaza fuvu watakaoumia sio wewe mkaza fuvu Bali wale wa chini watakaonufaika na pesa.
 
Hilo liko wazi! Bado hatujawa tayari kujitawala hadi tutapojenga misingi ya kujitegemea. Ukitaka kujenga misingi ya kujitegemea utapigwa vita kila kona uonekane haufai.

Mabeberu hutumia mgongo wa demokrasia ku finance watu wa kusimamia maslahi yao. Kupitia misaada yao nyuma yake kuna masharti ambayo hayakutoi kwenye umaskini zaidi kuzidi kuwa tegemezi.

Ndio maana mimi kuna wakati namlaumu mama sometimes namuonea huruma sababu safari ya kuikomboa hii nchi na hawa wakubwa ni vita kamili! Si rahisi

Kama hatutaki vita nao tunafikiri diplomasia itasaidia tunajidanganya maana hata hao wakubwa ukigusa maslahi yao hawana diplomasia!

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kiapo cha Mawaziri au viongozi kinawazuia kutoa Siri za vikao , isipokuwa kwa ruhusa ya Mamlaka ya uteuzi.Labda amepata kibali cha Mamlaka ya uteuzi
 
Kwa namna moja au nyingine, inasikitisha.
Hatahivyo, its a vindication on my part.
Ni uthibitisho niliyokuwa nasubiri.... Kwa kile ambacho nimekuwa nikikisema wakati wote huo, na pia kuamini kwamba vurugumechi zote kubwa juu ya serikali ya Hayat zilitokana na shinikizo kutoka kwa mabeberu, kimsingi sisi kama nchi tukikubali vita vya kiuchumi vilivyoendeshwa dhidi yetu. Inanipa faraja. Niliamini then na ninaamini now

Aluta Continua
 
Technically sidhani kama ni kumharibia unless hizo pesa za MCCL huzitaki..

Binafsi nazitaka Kwa sababu hakuna Cha Bure bila masharti so long as hayo masharti sio haribifu kwetu,yangekuwa ni mabaya hakuna Waziri angetaja..

Pili unaposema Mwendazake alikataa wenye mimba kusoma Sasa kwani hapo alikuwa anakomoa Wazungu au Watoto wetu?

Kwanza hawakupewa nafasi ya kusoma na pili na pesa unakosa Sasa haya mambo hayahitaji kukaza fuvu, maskini unamkazia nani fuvu?

Kumbuka ukikaza fuvu watakaoumia sio wewe mkaza fuvu Bali wale wa chini watakaonufaika na pesa.
......
 
Wanabodi
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.

Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.

Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.

Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.

Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...!.

Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!.

Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?!. Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!.

Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?

Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.

Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.
Kwa wasioujua wema wa

Paskali
Kwenda haja kubwa ukiwa umechuchumaa ni kitendo na hitaji la kiasili sababu ya maumbile yako, usidhani ni kwa kuwa wewe ni mjanja sana au msela sana, au mgomvi sana.
Unaweza ukaenda against nature kama ukiamua, halafu jiulize ni nini kitatokea kama ukienda haja kubwa ukiwa umesimama wima... na jiulize watu watakuona au wata kuelewaje? na kama utakuwa comfortable.
Kuna mtu alijaribu kuchamba wima mpaka leo kasababisha eneo lijulikane hivyo.
 
Wanabodi
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.

Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.

Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.

Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.

Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...!.

Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!.

Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?!. Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!.

Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?

Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.

Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.
Kwa wasioujua wema wa

Paskali
Mkuu Paskali ukisoma ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO MKUTANO WA KUMI NA MOJA KIKAO CHA KWANZA – TAREHE 04 APRILI, 2023 hilo Azimio halipo sasa kitaalamu hii tunaitaje kuendesha zoezi ambapo halimo kwenye orodha ya shughuli za leo... naomba nikuambatishie hapa

Spika ameamua tu yeye mwenyewe kumpongeza Rais na kutumia kikao cha Bunge huku akijua fika Bunge linaendeshwa kwa utaratibu ni nini kilichokuwa nyuma ya ajenda hii?
 
Attachments

Wanabodi
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.

Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.

Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.

Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.

Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...!.

Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!.

Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?!. Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!.

Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?

Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.

Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.
Kwa wasioujua wema wa

Paskali

Hunaga kazi ya kufanya, hemu mum teue huyu mtu hata awe makamu wa rais kuliko kutujazia server huku.

Mtu gani hana dignity kila kusifia tu na kujikomba?
 
Mawaziri wengine ni roporopo Sana!
 
Back
Top Bottom