Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimishwa kuzifuata na nchi mabeberu.
Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi tumefanya wenyewe!.
Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.
Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.
Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...
Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!
Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?! Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!
Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?
Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.
Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.
Kwa wasioujua wema wa
Paskali