Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa Diplomasia ya Uchumi na Demokrasia, Kuna Waziri Ameharibu Kutaja Masherti ya MCC!

Hatujasikia msimamo wa Mama kwenye issue ya LGBTQ!
 
Kama masharti yenyewe ni kututaka tuheshimu na kufuata Katiba yetu wenyewe tuliyoapa kuilinda naona siyo masharti mabaya. Mwigulu aache wenge. Ila azimio la kumpongeza Rais kutimiza wajibu wake huu ni uboya,hivi nahitaji kupongezwa kwa kumlipia mwanangu school fees?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Pongezi ndiyo kazi yao ya kwanza! Pesa zote za matumizi anatoa mama hivyo hatuwahitaji hawa kwani mama anatosha.
 
Kwanza nipongeze hatua ambayo mama amechukua kuhusu haya maridhiano. Pili kama karidhia kwa takwa la MCC au utashi wake binafsi hilo sio ishu sana kikubwa amefanya kitu ambacho ni faida kwa watanzania. Wapo wana ukasumba fulani kuwa viongozi wa kiafrika kutawala kwa kukandamiza wengine ni kama ndio tabia ya asili yetu na nchi zingine zikishauli basi ni ni ubeberu.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Batanzanie wawe wanakusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…