Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Unaelewa maana ya mienendo mibaya na upotofu wa maadili lakini, 🤔.Kwaiyo bora ushoga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaelewa maana ya mienendo mibaya na upotofu wa maadili lakini, 🤔.Kwaiyo bora ushoga?
Hatujasikia msimamo wa Mama kwenye issue ya LGBTQ!Wanabodi
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.
Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.
Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.
Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.
Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...!.
Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!.
Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?!. Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!.
Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?
Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.
Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.
Kwa wasioujua wema wa
Paskali
Mama anaongozwa na busara, hili kamwe hatalisemea kwasababu sisi sio utamaduni wetu.Hatujasikia msimamo wa Mama kwenye issue ya LGBTQ!
Pongezi ndiyo kazi yao ya kwanza! Pesa zote za matumizi anatoa mama hivyo hatuwahitaji hawa kwani mama anatosha.Wanabodi
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.
Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.
Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.
Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.
Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...!.
Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!.
Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?!. Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!.
Bahati nzuri sana, sisi baadhi yetu tunamfahamu Samia, wema wake ni wa asili na sio wema wa kukidhi masherti ya mabeberu! Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...
Hata JPM alipogoma kuwa hasomeshi watoto wa kike wanaopata ujauzito, niliuliza humu Kitendo cha Kukiuka Ilani ya CCM Bila Kikao Chochote, Sio Udikiteta?
Kumbe mabeberu kupitia ufadhili, walitupiga kabali, na kutubananisha hadi kwenye kona, tukafika mahali hatuna jinsi ni tumebana tumebana, baada ya kubananishwa, tukaachia kimya kimya na kuwaruhusu mabinti wanaopata ujauzito, warejee shuleni kimya kimya bila kusema ni shinikizo la mabeberu.
Sasa kwa vile wema wa Rais Samia ni wema wa asili, hata kama kuna mashinikizo ya wafadhili na mabeberu, hakukuwa na haja ya kusema kila kitu ili kuepuka ku water down wema wa Rais Samia.
Kwa wasioujua wema wa
Paskali
Naunga mkono hojaPongezi ndiyo kazi yao ya kwanza! Pesa zote za matumizi anatoa mama hivyo hatuwahitaji hawa kwani mama anatosha.
Naunga mkono hojaKwanza nipongeze hatua ambayo mama amechukua kuhusu haya maridhiano. Pili kama karidhia kwa takwa la MCC au utashi wake binafsi hilo sio ishu sana kikubwa amefanya kitu ambacho ni faida kwa watanzania. Wapo wana ukasumba fulani kuwa viongozi wa kiafrika kutawala kwa kukandamiza wengine ni kama ndio tabia ya asili yetu na nchi zingine zikishauli basi ni ni ubeberu.
Batanzanie wawe wanakusoma.Wanabodi,
Kuna vitu fulani fulani vinchi masikini vinalazimishwa kufuata sera fulani fulani wanalazimoshwa kuzifuata na nchi mabeberu.
Sasa vinchi hivi vinapowekewa masherti na mabeberu, masherti hayo hupokelewa kimya kimya na kuwa domesticated as if ni sisi nimefanya wenyewe!.
Leo katika kuchangia Azimio la Bunge kumpongeza Rais Samia kwa kazi kubwa anazofanya Rais Samia.
Moja ya mambo makubwa ambayo Rais Samia anesifiwa na kupongezwa sio tuu na Watanzania, bali anapongezwa na dunia, ni kitendo cha Rais Samia kukuza demokrasia, kwa maridhiano ya kisiasa na kuruhusu mikutano ya hadhara.
Kuna Waziri amesimama kuchangia, akatoa siri kuwa kumbe Tanzania tulipigwa kabali na MCC ili Tanzania tuendelee kupewa fedha za MCC lazima tufanye 1,2,3, ...
Kumbe kuna baadhi ya mambo tunayafanya ni tunafanya ku bow down kwa mabeberu, kutimiza masherti ya mabeberu!
Hata kama ni kweli Rais Samia ameruhusu mikutano ya hadhara kukidhi masherti ya MCC?! Huku sio kumharibia?. Kumfanya aonekane kumbe wema wake sio wake bali ni wema wa kukidhi masherti ya mabeberu!