Azimu Dewji ndo wanahujumu simba, Ilisema Kocha aliyepita hakufaa, sasa yako wapi?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze.

Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji ajitokeze na kusema wazi kwanini alimuchukia n akumhujumu kocha mburazili wakati sasa ndo hali imekuwa mbaya zaidi.

Yule kocha Rotabitnno hakuwa kufungwa nje ndani na team yoyeto ya kiarabu an angekuwepo tusingekuwa tunadhalilika kama sasa.

Viongozi wa simba na badhi ya wanachama hasa wanaohusika na usajili ndo watu wa ovyo wameihujumu team kw aamsalahi yao. Wachezaji hawalipwi madai yao kiasi kwamba inafanya simba iwe sehemu ya vuruguvurigu
 
Robert alikuwa kocha mzuri sana alichofanyiwa ilikuwa dhurma ya mchana kweupe kabisa

Mi ni Yanga ila Simba ya Robert ilikuwa sio nyepesi kama hii ya Muarabu, hii ndio Simba pekee ambayo hadi dk ya 90 ndio wanasimba hujua wameshinda au lah haijalishi wanacheza na nani
 
Robert alikuwa kocha mzuri sana alichofanyiwa ilikuwa dhurma ya mchana kweupe kabisa
Mi ni Yanga ila Simba ya Robert ilikuwa sio nyepesi kama hii ya Muarabu ,hii ndio Simba pekee ambayo hadi dk ya 90 ndio wanasimba hujua wameshinda au lah haijalishi wanacheza na nani
Shida yenu ni kikosi.

Benchika ana rekodi kubwa kuliko Robertinho.

Benchika ana kombe la CAFCC na ana super cup aloipata kwa kumfunga Al ahly.

Benchika kocha ila Simba ina wachezaji vilema.
 
Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji ajitokeze na kusema wazi kwanini alimuchukia n akumhujumu kocha mburazili wakati sasa ndo hali imekuwa mbaya zaidi.
Mzee baba kuna timu nyingi tu za kushabikia unaweza kuhama Simb, na ikiwa wewe ni Simba damu damu maana yake una kadi ya uanachama, peleka malalamiko yako huko kwenye vikao vyenu, ukileta malalamiko hapa maana yake unaalika amphibians waje waizodoe timu yako 😂😂
 
Shida yenu ni kikosi.
Benchika ana rekodi kubwa kuliko Robertinho.
Benchika ana kombe la CAFCC na ana super cup aloipata kwa kumfunga Al ahly.
Benchika kocha ila Simba ina wachezaji vilema.
Mkuu kwanza niweke record sawa mi Yanga
Kama suala ni wachezaji basi Benchika hawezi kufundisha team yoyote kusini mwa Jangwa la Sahara akapata kombe
Kama huwezi kushinda ukiwa na
1.Ayubu
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Che Malone
5.Inonga
6.Ngoma
7.Onana
8.Chasambi
9.Chama
10.Jobe n.k
Basi utahitaji upate nani ili ushinde!?
As a head coach alipaswa kujenga morali ya team Gamond kacheza champions league akiwa na pancha 3 na bado kamudu game imagine Simba wangekuwa na pancha za maana 3 hali ingekuwaje
 
Kocha robertinho huenda alikua ni moja kati ya makocha wa hovyo kuwahi kutokea simba alikua hawezi kuusoma mchezo,kikosi aling'ang'ania kimoja

Mnaona alikua bora kwasababu ya mabaki ya makocha waliopita Kama hujui

simba mpira mbovu wanaocheza saivi yani timu linaenda tu yani timu haishindi kimipango inashinda kwa dead balls na bahati basi yote yameanzia kwa kocha robatinho

Kitu ambacho sio falsafa ya Mpira wa simba simba siku zote ilikua inamiliki mpira na kucheza soka safi kwa mipango robatinho alipokuja akaja na objective football ya pira la hovyo ye alichojali matokeo tu na ndo maana wachezaji wenye skills kama chama,sakho,banda wakawa wanapigwa benchi akawa anatumia wachezaji ambao hata hawana skills zaidi ya nguvu mfano ntibazokiza,kibu etc

Kitu kimoja alichofanikiwa labda kumpa confidence KIBU D basi
Walau hata benchika anatoa nafasi kwa wachezaji wengine japo bado

My take:simba kabla ya kuajiri kocha inatakiwa ichague kocha anayeendana na falsafa na utamaduni wa mpira wa simba
 
Shida yenu ni kikosi.
Benchika ana rekodi kubwa kuliko Robertinho.
Benchika ana kombe la CAFCC na ana super cup aloipata kwa kumfunga Al ahly.
Benchika kocha ila Simba ina wachezaji vilema.
Hao hao vilema tinyo boy hakufungwa kizembe zembe mpka yule duka kulipwa pesa ya kufunguliwa duka la vifaa vya michezo
 
Mkuu kwanza niweke record sawa mi Yanga
Kama suala ni wachezaji basi Benchika hawezi kufundisha team yoyote kusini mwa Jangwa la Sahara akapata kombe
Kama huwezi kushinda ukiwa na
1.Ayubu
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Che Malone
5.Inonga
6.Ngoma
7.Onana
8.Chasambi
9.Chama
10.Jobe n.k
Basi utahitaji upate nani ili ushinde!?
As a head coach alipaswa kujenga morali ya team Gamond kacheza champions league akiwa na pancha 3 na bado kamudu game imagine Simba wangekuwa na pancha za maana 3 hali ingekuwaje
Hawezi kuje ga molari sbb wachezaji hawalipwi kwa wakati bonajs zao na mengineyo..wachezaji hawajalipwa mishahara na bonus za miezi miatatu sasa,,hivyo kunashida kubwa
 
Wanaogopa Nini mbona si tulipitisha bakuli anyway ngoja msimu ujao uone kama hawajapitisha bakuli
 
Mkuu kwanza niweke record sawa mi Yanga
Kama suala ni wachezaji basi Benchika hawezi kufundisha team yoyote kusini mwa Jangwa la Sahara akapata kombe
Kama huwezi kushinda ukiwa na
1.Ayubu
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Che Malone
5.Inonga
6.Ngoma
7.Onana
8.Chasambi
9.Chama
10.Jobe n.k
Basi utahitaji upate nani ili ushinde!?
As a head coach alipaswa kujenga morali ya team Gamond kacheza champions league akiwa na pancha 3 na bado kamudu game imagine Simba wangekuwa na pancha za maana 3 hali ingekuwaje
Bro kwa hao wachezaji unadhani wana quality stahiki!?
Bro embu kuwa serious bhana.
Zimbwe,Kapombe,Chama washachoka mkuu muda kwishnei.
Jobe naye nothing there is.
Wenye uafadhali ni Chemalone na Inonga na Onana.
Wachezaji wa Simba wamechoka bro.
Simba ifanye usajili.
USM Alger mbona haikuwa na wachezaji wa bei na wakashinda CAFCC na super cup!?
Tena Super cup akimfunga Al Ahly.
 
Budget ya USM iko juu na wachezaji wengi Wana quality nzuri kabisa.
Kwa hapa Tanzania ni mchezaji gani anaweza ku battle na hao wawili katika namba hizo ukiondoa Yao na Lomalisa!?
Kigezo Cha madeni naweza kubali kuwa labda kimeshusha morali ya wachezaji ila sio viwango yes vimeshuka lakini sio kuhangaishana na Mashujaa na Ihefu mara Namungo mara papatu papatu kwa Jkt (ashukuriwe Ayubu)
 
Fred Michael kublan ni top scorer wa Zambia
Che malon fondo MVP Cameroon
Inonga beki bora NBC pl
Babacar sarr ana cv nzito
Ntibazokiza ana cv ya hatari
Kanoute ana cv makini mno
Ngoma huyo nisiseme sana
Chama ni midfield hatari
Miqson mnamjua vizuri kacheza Mamelod, Ahly

Ayoub Lakred huyo kadaka wydad

Simba inakosa coach wa kutuliza pressure
 
Budget ya USM iko juu na wachezaji wengi Wana quality nzuri kabisa.
Kwa hapa Tanzania ni mchezaji gani anaweza ku battle na hao wawili katika namba hizo ukiondoa Yao na Lomalisa!?
Kigezo Cha madeni naweza kubali kuwa labda kimeshusha morali ya wachezaji ila sio viwango yes vimeshuka lakini sio kuhangaishana na Mashujaa na Ihefu mara Namungo mara papatu papatu kwa Jkt (ashukuriwe Ayubu)
Wa ku battle na Kapombe na Zimbwe wapo mbona!?
Ibrahim Bacca,Dickson Job hao unawachukuliaje?
Pia hata performance ya Kibabage unaichukuliaje?
 
Hao ni wachezaji wa kati sio wa pembeni
Hata hapo kwenye 2 huwezi kwenda na Job kama kapombe yupo basi tu nyakati zinatufanya tusahau ila kapombe na zimbwe kwa pembeni kwa tz bado sana kupata mtu wa kuwafikia
 
Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze.

Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji ajitokeze na kusema wazi kwanini alimuchukia n akumhujumu kocha mburazili wakati sasa ndo hali imekuwa mbaya zaidi.

Yule kocha Rotabitnno hakuwa kufungwa nje ndani na team yoyeto ya kiarabu an angekuwepo tusingekuwa tunadhalilika kama sasa.

Viongozi wa simba na badhi ya wanachama hasa wanaohusika na usajili ndo watu wa ovyo wameihujumu team kw aamsalahi yao. Wachezaji hawalipwi madai yao kiasi kwamba inafanya simba iwe sehemu ya vuruguvurigu
Mbona haujaleta ushahidi au uthibitisho wa hiyo tuhuma?
 
Back
Top Bottom