Azimu Dewji ndo wanahujumu simba, Ilisema Kocha aliyepita hakufaa, sasa yako wapi?

Azimu Dewji ndo wanahujumu simba, Ilisema Kocha aliyepita hakufaa, sasa yako wapi?

Wa ku battle na Kapombe na Zimbwe wapo mbona!?
Ibrahim Bacca,Dickson Job hao unawachukuliaje?
Pia hata performance ya Kibabage unaichukuliaje?
Kibabage ni mzuri ila hana pasi ya mwsho nzuri na maamuzi yake huwa sio ya kutegemewa
 
Kocha huyo hapo kawa mwana jangwani a.k.a mwananchi.
1000184328.jpg
 
Mzee baba kuna timu nyingi tu za kushabikia unaweza kuhama Simb, na ikiwa wewe ni Simba damu damu maana yake una kadi ya uanachama, peleka malalamiko yako huko kwenye vikao vyenu, ukileta malalamiko hapa maana yake unaalika amphibians waje waizodoe timu yako 😂😂
Mbona mo anaongea Twitter au na yeye hajui hivyo vikao
 
Back
Top Bottom