Shida yenu ni kikosi.Robert alikuwa kocha mzuri sana alichofanyiwa ilikuwa dhurma ya mchana kweupe kabisa
Mi ni Yanga ila Simba ya Robert ilikuwa sio nyepesi kama hii ya Muarabu ,hii ndio Simba pekee ambayo hadi dk ya 90 ndio wanasimba hujua wameshinda au lah haijalishi wanacheza na nani
Mzee baba kuna timu nyingi tu za kushabikia unaweza kuhama Simb, na ikiwa wewe ni Simba damu damu maana yake una kadi ya uanachama, peleka malalamiko yako huko kwenye vikao vyenu, ukileta malalamiko hapa maana yake unaalika amphibians waje waizodoe timu yako 😂😂Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji ajitokeze na kusema wazi kwanini alimuchukia n akumhujumu kocha mburazili wakati sasa ndo hali imekuwa mbaya zaidi.
Mkuu kwanza niweke record sawa mi YangaShida yenu ni kikosi.
Benchika ana rekodi kubwa kuliko Robertinho.
Benchika ana kombe la CAFCC na ana super cup aloipata kwa kumfunga Al ahly.
Benchika kocha ila Simba ina wachezaji vilema.
Hao hao vilema tinyo boy hakufungwa kizembe zembe mpka yule duka kulipwa pesa ya kufunguliwa duka la vifaa vya michezoShida yenu ni kikosi.
Benchika ana rekodi kubwa kuliko Robertinho.
Benchika ana kombe la CAFCC na ana super cup aloipata kwa kumfunga Al ahly.
Benchika kocha ila Simba ina wachezaji vilema.
Hawezi kuje ga molari sbb wachezaji hawalipwi kwa wakati bonajs zao na mengineyo..wachezaji hawajalipwa mishahara na bonus za miezi miatatu sasa,,hivyo kunashida kubwaMkuu kwanza niweke record sawa mi Yanga
Kama suala ni wachezaji basi Benchika hawezi kufundisha team yoyote kusini mwa Jangwa la Sahara akapata kombe
Kama huwezi kushinda ukiwa na
1.Ayubu
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Che Malone
5.Inonga
6.Ngoma
7.Onana
8.Chasambi
9.Chama
10.Jobe n.k
Basi utahitaji upate nani ili ushinde!?
As a head coach alipaswa kujenga morali ya team Gamond kacheza champions league akiwa na pancha 3 na bado kamudu game imagine Simba wangekuwa na pancha za maana 3 hali ingekuwaje
Wanaogopa Nini mbona si tulipitisha bakuli anyway ngoja msimu ujao uone kama hawajapitisha bakuliHawezi kuje ga molari sbb wachezaji hawalipwi kwa wakati bonajs zao na mengineyo..wachezaji hawajalipwa mishahara na bonus za miezi miatatu sasa,,hivyo kunashida kubwa
Uongozi na Wala siyo wachezajiShida ya simba ni kikosi,siyo kocha.
"Wachezaji magalasa+Uongozi mbovu"Uongozi na Wala siyo wachezaji
Bro kwa hao wachezaji unadhani wana quality stahiki!?Mkuu kwanza niweke record sawa mi Yanga
Kama suala ni wachezaji basi Benchika hawezi kufundisha team yoyote kusini mwa Jangwa la Sahara akapata kombe
Kama huwezi kushinda ukiwa na
1.Ayubu
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Che Malone
5.Inonga
6.Ngoma
7.Onana
8.Chasambi
9.Chama
10.Jobe n.k
Basi utahitaji upate nani ili ushinde!?
As a head coach alipaswa kujenga morali ya team Gamond kacheza champions league akiwa na pancha 3 na bado kamudu game imagine Simba wangekuwa na pancha za maana 3 hali ingekuwaje
Budget ya USM iko juu na wachezaji wengi Wana quality nzuri kabisa.Bro kwa hao wachezaji unadhani wana quality stahiki!?
Bro embu kuwa serious bhana.
Zimbwe,Kapombe,Chama washachoka mkuu muda kwishnei.
Jobe naye nothing there is.
Wenye uafadhali ni Chemalone na Inonga na Onana.
Wachezaji wa Simba wamechoka bro.
Simba ifanye usajili.
USM Alger mbona haikuwa na wachezaji wa bei na wakashinda CAFCC na super cup!?
Tena Super cup akimfunga Al Ahly.
Wa ku battle na Kapombe na Zimbwe wapo mbona!?Budget ya USM iko juu na wachezaji wengi Wana quality nzuri kabisa.
Kwa hapa Tanzania ni mchezaji gani anaweza ku battle na hao wawili katika namba hizo ukiondoa Yao na Lomalisa!?
Kigezo Cha madeni naweza kubali kuwa labda kimeshusha morali ya wachezaji ila sio viwango yes vimeshuka lakini sio kuhangaishana na Mashujaa na Ihefu mara Namungo mara papatu papatu kwa Jkt (ashukuriwe Ayubu)
Hao ni wachezaji wa kati sio wa pembeniWa ku battle na Kapombe na Zimbwe wapo mbona!?
Ibrahim Bacca,Dickson Job hao unawachukuliaje?
Pia hata performance ya Kibabage unaichukuliaje?
Mbona haujaleta ushahidi au uthibitisho wa hiyo tuhuma?Mzee azimu Dewji mda mwingi alimtuhumu mzee wa objective football eti kwa kuwa hajawahi kuchukua makombe makubw, akaongea na wachezaji fuani ili team ifungwe Goli Tano iliwamfukuze.
Sasa wameleta huyu na kufukuza wachezaji bora wakaleta magarasa na sasa hamna kitu. Tunataka mzee Dewji ajitokeze na kusema wazi kwanini alimuchukia n akumhujumu kocha mburazili wakati sasa ndo hali imekuwa mbaya zaidi.
Yule kocha Rotabitnno hakuwa kufungwa nje ndani na team yoyeto ya kiarabu an angekuwepo tusingekuwa tunadhalilika kama sasa.
Viongozi wa simba na badhi ya wanachama hasa wanaohusika na usajili ndo watu wa ovyo wameihujumu team kw aamsalahi yao. Wachezaji hawalipwi madai yao kiasi kwamba inafanya simba iwe sehemu ya vuruguvurigu