Mzee baba kuna timu nyingi tu za kushabikia unaweza kuhama Simb, na ikiwa wewe ni Simba damu damu maana yake una kadi ya uanachama, peleka malalamiko yako huko kwenye vikao vyenu, ukileta malalamiko hapa maana yake unaalika amphibians waje waizodoe timu yako 😂😂