Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mchezaji wa soka maarufu, Aziz Ki, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mapenzi yake na mpenzi wake, Hamisa Mobetto. Akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram, Aziz Ki ameandika ujumbe wa kipekee kwa Mobetto, akimtakia Siku ya Valentine na kuelezea jinsi alivyojisikia kuhusu uhusiano wao saa chache kuelekea ndoa yao.



"Tangu nilipokutana nawe (Hamisa), nilijua kuwa wewe ni wangu wa milele. Wewe ni ushindi wangu mkubwa, ndoto yangu nzuri zaidi imetimia."

"Mwaka jana, nilipiga shuti muhimu zaidi-sio uwanjani, lakini kwa goti moja. Na uliposema NDIYO, Dunia yangu ilibadilika milele."



Your browser is not able to display this video.


Soma, Pia
 
Aoneshe na alizomtumia bonge wa usa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…