Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine

Tangu hili limeanza siwaoni kataa ndoa na wale wapinga maendeleo ya single mother. Kulikoni?

Wanaandala waraka?. Wanasubiri muda ufike? Au?
 
Mchezaji wa soka maarufu, Aziz Ki, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mapenzi yake na mpenzi wake, Hamisa Mobetto. Akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram, Aziz Ki ameandika ujumbe wa kipekee kwa Mobetto, akimtakia Siku ya Valentine na kuelezea jinsi alivyojisikia kuhusu uhusiano wao saa chache kuelekea ndoa yao.

View attachment 3236582

"Tangu nilipokutana nawe (Hamisa), nilijua kuwa wewe ni wangu wa milele. Wewe ni ushindi wangu mkubwa, ndoto yangu nzuri zaidi imetimia."

"Mwaka jana, nilipiga shuti muhimu zaidi-sio uwanjani, lakini kwa goti moja. Na uliposema NDIYO, Dunia yangu ilibadilika milele."


View attachment 3236583
View attachment 3236584
View attachment 3236601
Soma, Pia
Not smart , not smart at all marrying a sly queen with kids from multiple fathers
 
Back
Top Bottom