Tetesi: Aziz Ki aaga Yanga SC, ahusishwa na Simba SC

Rudi shule kiingereza rahisi hivo unatafasiri kinyume hivo.
 
wasije mtupia majini maana uto hawataki kuachika..
Ila mbona hajaaga,? Au mi ndo sijui kiinglishi
 
Kila la heri kwake, Wana Yanga hatuna baya naye.
 
Ujaona na ameiongelea na Familia yake!

ELIMU, ELIMU, ELIMU ni janga kwa Watanzania wengi!
 
🚮
 
Kwanza hiyo makala imeandikwa na na nguru pori anajiita Bin Kazumira. Halafu anajaribu kucheza karata za kipuuzi ambazo hazimsaidii kitu. Yan nachokifanya waandisgi wenzake walishafanya kwa kujaribu kumdalalia mchezaji. Jamaa lilishaishiwa hakuna linachojua zaidi ya kutoa uharo tu
 
Ni mimi ndio sijui kiinglish au?,maana ninavyoona huo ujumbe ni kwamba anatoa shukrani kwa ajili ya msimu ulioisha.
 
Kwa sasa Yanga ina timu bora kuliko Simba,Aziz K hawezi kwenda Simba kucheza shirikisho,hata akiondoka Yanga ni rahisi kwenda Azam kuliko Simba
 
Sasa hapo ndo Kaaga, au sijui ki English...
 
Hawezi kwenda Simba bado yupo sana Yanga na anaipenda Yanga kutoka moyoni, Makolo mtasubiri sana.
 
Ni drama za Mangungo tu hizo,Simba hatuna ujanja wa kumsajili Aziz Ki sema Mangungo limeanzisha hizo drama ili liendelee kung'ang'ania madaraka kutuhujumu tena msimu ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…